Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Sii hao warembo unawapa good time bia nyama kwa wingi alafu unawagegeda baada ya hapo unawaua na kuchua figo unapiga bei maisha yanaendelea...tena mie nitachukua na mbususu niichemshe nipate supu
Aisee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kwa nini watu wengine wanakufa vifo vya maumivu sana, kuuliwa, Kansa etc. na wengine wanalala tu usiku unasikia wamekufa?
Ni mpango ya mungu, pia nikuulize je unawaapa somo gan mabint au wanawake wenzio kwa ujumla
 
nimeandika sehemu alipozaliwa na kukaa hivyo unaweza kwenda mtaa huo kupata source zako mheshimiwa afande
Wewe mwenyewe hii taarifa umeiokota WhatsApp kwenye viwanda vya uwongo, halafu hapa wewe ndio unajinasibu ndio source ya taarifa?

Mimi nikimuona kamanda wa kanda maalum Afande Mulilo anatowa press release ndio naweza kuamini taarifa za hivi.
 
Huyu mtoa mada muongo muongo sana.

Hii ni chai.
Ni kweli na mimi nilikuwepo msibani. Ila kuna baadhi ya habar kaficha ila yote aliyosema ni kweli. Kiukweli wote tunazaa na hatupaswi kumlaumu huyu dada kwa lolote kikubwa tujitahd kuwekeza kwaajili ya watoto kiroho na kimwili na tuwaombee sana watoto wetu. Kila mtu hapa ana majanga yake. Wengine tungeweza kufia gest na michepuko lakin Mungu ametupa nafasi tutubu. Ukimuona mwenzio kakutana na hili ni suala la kujitafakar na kutubu na sio kuwaona kama wakosaji sana.
 
Hivi JF siku hizi sijui imekuwaje. Zamani stori kama hii ikija wangekuja madaktari hapa kueleza namna figo inavyoweza kutolewa na kuhifadhiwa kabla haijapandikizwa kwa mtu mwingine. Lakini hapa jamaa kaja na stori yake basi imeisha na watu wanachangia kumuunga mkono bila kujiuliza maswali ya msingi as if kutoa figo kwa mtu mmoja kupeleka kupandikiza kwa mtu mwingine ni kitu kirahisi tu. Hivyo huyo mtu kapimwa saa ngapi ili kuweza kujua kama figo zake ni imara kwa mtu aliyeokotwa tu bar au wao wanajibebea tu figo mradi figo? Kwenye hii stori maswali ni mengi kuliko majibu vinginevyo mleta uzi aseme tu hizo figo zilikuwa zinahitajika na mganga wa kienyeji hapo sawa.
 
Hakuna Mechanism ya Kuhifadhi kiungo cha Binadamu ili Kipandikizwe kwa Binadamu mwingine maana Figo ili iendelee kuwa Active na kufanya kazi lazima ipate Blood suppy muda wote tena yenye Chakula na Oxygen sasa kama Umaitoa ukaiweka hivyo vitu vitatoka wapi??? Ndo maana inabdi Itolewe na Kupandikizwa at Instant... Ndo maana hata mtu akifa na organ zake labda muwahi kabla hajapoa ndo itolewe otherwise inakufa nayo...
 
R.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana

Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo kibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangani.

Inasemekana siku ya tukio tatehe 31, walichukuana na mwenzake wakaenda Tabata (Kitambaa cheupe) kwenye starehe zao huku wanakunywa akiwa na mwenzake na mbaba waliyempata hukohuko (Danga).

Sasa yule mwenzie na marehemu Barke akaenda chooni, anarudi anakuta mwenzie hayupo pale walipokuwa wamekaa anamuangalia hamuoni, anampigia Barke simu imezimwa, Sikh nne mfululizo...... sasa msichana inabidi ahadithie kwao kuwa nimetoka na Barke na ninampigia simu hapatikani siku ya nne sasa simuoni na nyumbani kwake hayupo.... wakaenda police na taratibu za kumtafuta zikaanza.

Kwenye kumtafuta wakaenda hospitali zote kufika Amana wakaambiwa " bwana hapa ililetwa maiti ya mwanamke tarehe 1, baada ya kukaa sana imechukiliwa imepelekwa MUHIMBILI" ndugu walivyoenda Muhimbili wakautambua mwili wa Barke na walipomchunguza wakakura ametolewa figo.

PUMNZIKA kwa amani dada inauma sana hii yote inatokana na umasikini kikubwa ni umakini, mtu humjui anaanza kukunywesha pombe kwa kigezo cha danga.

NB:
NIMETOA PICHA BAADA YA KUPATA PM ZA WENGI KUWA NIFANYE HIVYO NAMI NMETOA KULINDA FARAGHA YA MAREHEMU ILA NMEACHA THREAD KAMA FUNZO KWA DADA ZETU

View attachment 2088557
Kuna vifo vingi sana vinatokea na polisi hawachunguzi kabisa. Yani laiti kama wangekuwa wanatoa stastics za mauaji na unsolved crimes, nahisi hata marekani hawaoni ndani.
Uwa nikisoma habari za marekani za mauaji uwa nahisi labda wamezidi, ila huenda kwetu ni zaidi ila yanaisha huko juu kwa juu hakuna kutangazwa wala nini
 
Hakuna Mechanism ya Kuhifadhi kiungo cha Binadamu ili Kipandikizwe kwa Binadamu mwingine maana Figo ili iendelee kuwa Active na kufanya kazi lazima ipate Blood suppy muda wote tena yenye Chakula na Oxygen sasa kama Umaitoa ukaiweka hivyo vitu vitatoka wapi??? Ndo maana inabdi Itolewe na Kupandikizwa at Instant... Ndo maana hata mtu akifa na organ zake labda muwahi kabla hajapoa ndo itolewe otherwise inakufa nayo...
Huenda wana kazi nyingine wanafanyia maana kuna imani za ajabu kama za viungo vya albino
 
Back
Top Bottom