Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Waacheni watolewe figo hao machangudoa..mimi naona wanapata malipo kulingana na yale wanayoyatenda...KIZAZI HIKI WANAWAKE WAMEKUWA NA ROHO MBAYA SANA WAACHENI WATOLEWE FIGO 😂😂
 

hatununui kabla ya makubaliano, issue inakuja makubaliano yanapokiukwa inakuwa dharau ya kiwango cha juu....waungwana watakusamehe, wasio waungwana lazima wakulie timing ndio hivyo unakuta huna figo....
 
sio kweli
Tena wenyewe ndo wanasema unapanda vyeo.
Ila yote kwa yote hakuna sababu ya kumuua mwanamke kisa kala hela zako.
Unajua gharama ya ROHO?
Acheni mzaha vijana na mihemko
mimi siui, na naendelea kua mjingamimi ila wengine hawatovumilia huo ungese
 
Kama mtu anaenda na mwanaume sababu akanywe hizo pombe umezitaja huyo ni mshamba na limbukeni wa starehe. Ukaliwe kisa Hennessy seriously????

Lakini tu dunia imebadilika hata wanaume msiwe comfortable sana na wanawake mnaokotana kwenye starehe
Wee unsema hennesy watu tunawala warembo kisa kitimoto au savannah na pizza
 
Inawezekana baada yakulegezwa na madawa ya kulevya hizo process nyingine zote zilifuata akiwa hajitambui (yaani kupimwa, na kutolewa kitaalam) af ndio wakamtupa.
 
sio kweli
Tena wenyewe ndo wanasema unapanda vyeo.
Ila yote kwa yote hakuna sababu ya kumuua mwanamke kisa kala hela zako.
Unajua gharama ya ROHO?
Acheni mzaha vijana na mihemko

inawezekana pia hizo hela wanazokula kuna mahala watu wanaweka roho zao rehani....wengine wavuvi dip sea, wengine seamen wanapigwa na mawimbi dip sea huko, wengine wawindaji kupishana na akina lion huko, wengine wapiga gia long trip misitu ya DRC, wengine majangiri, wengine wezi majambazi, wengine wanajeshi wametoka front line, nk nk.....
 
Wee utakuwa mdau wa crime channel . Waeleze shauri yao watakutana na akina ted bundy wanyongwe
 
Bado sio sababu ya kumuua mwanamke..
Nimetoa mfano Mimi mwenyewe Kuna mwanamke nilikuwa nae anaitwa aziza huyu demu alipoona nataka kumuacha akanibambikia mimba akaniambia kuwa Ana mimba yangu ni story ndefu.
Mpaka nakuja kujua nikishatumia Zaid ya milioni 2.maana operation tu alinipiga laki 4 acha malezi ya mtoto bandia .acha malezi yake yeye mwenyewe.mtoto alikuwa anakunywa maziwa ya 45,000 Yale ya sma.
Ila mpaka leo sijawaza kwenda kumtafuta kumpiga hata Kofi.na kwao napajua na nikimtaka hata Leo Nampa Ila roho ya mtu ni NZITO
 
Inatisha. Sema wala vichwa hawaelewi hayo. Wanaona kila alie mbele yao ni mteja.
Ndio hapo wee wawekee mapombe wanaona wamepata danga la ukweli kumbe wee unawalia timing tuu...baadae unajibebea kirahisi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…