Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wanakuja mkuu wahusika mimi mgeni mitaa hii!
Umemnunua huyo, na hela imehusika. Sasa huna tofauti na mtu anayekwenda Uwanja wa Fisi kuhemea.Mpe Attention chap.
Alafu ichukue tena hiyo Attention chap.
Shida mnawatongoza kwa userious wa kiwango cha Bwawa la umeme la Mwalim N.
Kwa maana hiyo, sahauni kula tunda kimasihara.
Mwenzio saizi, nmetoka Kuchek gem, nikapita kijiwen kwa ofisi yangu kumpa kampani dogo
Kaja Binti wa miaka 25-28.
Hapa navyoandika kwenye huu uzi.. Kanambia Kesho nimle mchana mida ya saa 6---12.
Kaolewa na ASKARI POLISI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kukataa hapa ila ukweli unaujua kuwa ni lazima ulijitapa au ulionesha mazingira ya wewe kuwa na hela.Mpe Attention chap.
Alafu ichukue tena hiyo Attention chap.
Shida mnawatongoza kwa userious wa kiwango cha Bwawa la umeme la Mwalim N.
Kwa maana hiyo, sahauni kula tunda kimasihara.
Mwenzio saizi, nmetoka Kuchek gem, nikapita kijiwen kwa ofisi yangu kumpa kampani dogo
Kaja Binti wa miaka 25-28.
Hapa navyoandika kwenye huu uzi.. Kanambia Kesho nimle mchana mida ya saa 6---12.
Kaolewa na ASKARI POLISI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haina noma vumilia siku ukimdaka unamchezesha mbele nyuma uamuzi wako tuNijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Sasa kwa ulivyosimulia wewe, huyo dada kakuona una pesa kwa ulivyojionesha, kubali kuwa ni mdangaji na anataka kukuchuna pakubwa. One day wakati hamjuani? Shtuka kaka, usijisifu bomu hilo.SIJAWAHI NUNUA MWANAMKE, NASIWEZ KUFANYA IVO.
HAITAKAA KAMWE, NITUMIE PESA YANGU KUNUNUA MWANAMKE, NIKAISHIA KUIPA NUKSI .
PESA NI PESA..NA MAPENZI NI MAPENZI.
KILA SIKU NAWAAMBIA, KUMPA MWANAMKE PESA KWA LENGO LA KUMPATA KIMAPENZI.. NI UAMUZI WAKO WEWE MWENYEWE.
ila hamnielewi.
Konokono mambo vipi?Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Dah! Mkuu so we hujawahi kukataliwa..? Ndugu huwa unajipa maneno kichizi yani we ndo wewe duh! Sawa we katafune zigo kwenye Dunia Kuna wanaopata na wanaokosa..😅Mpe Attention chap.
Alafu ichukue tena hiyo Attention chap.
Shida mnawatongoza kwa userious wa kiwango cha Bwawa la umeme la Mwalim N.
Kwa maana hiyo, sahauni kula tunda kimasihara.
Mwenzio saizi, nmetoka Kuchek gem, nikapita kijiwen kwa ofisi yangu kumpa kampani dogo
Kaja Binti wa miaka 25-28.
Hapa navyoandika kwenye huu uzi.. Kanambia Kesho nimle mchana mida ya saa 6---12.
Kaolewa na ASKARI POLISI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ENIWEI, MIE NI YULE KIJANA FULANI , UTASIKIA MWANAMKE ANANIAMBIA " WEWE HUYOO ,KWAJINSI ULIVYO, UKOSWE MPENZI?"
na nilivyo makini, madem wa umri mdogo nawambia Sina mpenzi.
Mademu wa 29+ nawambia, Nina mtu .
Ila nmekuelewa, unasemaje??.
Ila jaribu kuheshimu mwanaume mwenzio, haitokugharimu chochote, usitumie udhaifu wa hiyo demu kumvuniia heshima mwanaume mwenzako, heshima ni kitu cha bure kaka. Maadamu umeshajua AMEOLEWA NA MUME YUPO HAI, achana naye, wapo wengi tu ambao hawajaolewa. #KaziKwakoMdogo wangu... Sijaanza leo kula tunda kimasihara.