Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Ni kweli, hasa wadada wa mjini, ukimtongoza tu kodi inaisha, gas, nywele mara blabla
Pesa haina kijijini wala mjini mkuu. Huoni kuna wanaume huku huwa wanagomba kisa wameombwa na "my" wao 5,000.?
 
Pesa haina kijijini wala mjini mkuu. Huoni kuna wanaume huku huwa wanagomba kisa wameombwa na "my" wao 5,000.?
Huo ni ufala, wat is 5k?
Pili.
Wanawake wapo wanajishusha sana thamani.
Mkibadilishana namba yaani akagundua una interest naye, kabla hujamtongoza anaanza kulia njaa hadi aibu.
Why asisubirie hadi aone uhalisia wa mahusiano?
 
Huo ni ufala, wat is 5k?
Pili.
Wanawake wapo wanajishusha sana thamani.
Mkibadilishana namba yaani akagundua una interest naye, kabla hujamtongoza anaanza kulia njaa hadi aibu.
Ni njaa tu zinatusumbua. Ukipata mwanamke akaanza hizo ondoka mapema sana. Kwanza anakuona mshamba ndo maana anakupiga bill za kijinga kijinga, Pili mwanamke wa hivyo ujue hajimudu hata kwa kidogo yani wewe utakua mzazi wake.
 
Back
Top Bottom