Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Wengi wao hawajielewi! Unakuta lina above 28 na halijaolewa! (Nung^aembe) halafu eti linakujibu..." unikome"!! Khaa...!
Unakuta linadanganywa na jibaba hala anawaita waoaji konokono, mzee akimaliza kulila na kiulidamp linaanza kwenda kwa mwamposa kwenye maombi
 
Dawa gani mkuu..?
Nitakomaa naye mdogomdogo, hadi siku akiingia laini....unamtengenezea mazingira kuwa amefika, akijiachia tu namwaga, akianza kunitafuta na kulaumu...ninamkumbusha kuwa usisahau mimi ni konokono
 
Nitakomaa naye mdogomdogo, hadi siku akiingia laini....unamtengenezea mazingira kuwa amefika, akijiachia tu namwaga, akianza kunitafuta na kulaumu...ninamkumbusha kuwa usisahau mimi ni konokono
Hapo ndo huwa mwanzo wa kurogwa
 
Dawa gani mkuu..?
Nikukumbushe kuwa hakuna mwanamke asiyelika, tatizo wanaume huwa tuna papara, tunajishusha thamani kwa kupewa namba na papo hapo unaanza kutongoza.
Tukijua uthamani wetu hatupaswi kuwa na papara....mwishowe utatongozwa wewe[emoji38]
 
Ohoo! Kumbe!
 
Tafuta pesa. Ungekua na hela angekukataa kwa staha.
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole mkuu
 
Mapenzi nayapata pale ninapokua na amani ya moyo. Sasa hiyo amani ndo inaletwa na vingi na mwanaume mwenye tuchenchi akiwepo
Hata mi naelewa mapenzi bila fedha hayaendi ila Sasa fedha ipi sasa.. je,ni ile ukitongozwa tu na gesi inaisha,nywele zinafumuka,Kodi inaisha au..?
 
Back
Top Bottom