Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Mama hawezi unatafuta kisingizio tu! But anyway mama na akukataze tu..[emoji28]
Kasema nusiwasikilize WANAUME wakinisemesha[emoji850][emoji850][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
ila hakukuambia kenzy! kenzy ni mtu wa Mungu mpole na timamu..
 
Aliniambia ukikutana na mwanaume jina linaanzia K kimbia miguu iguse kichogon KWA mbio
🤣🤣🤣 We dada ushanishinda maneno sasa! Kenzy jina la utani usijali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] We dada ushanishinda maneno sasa! Kenzy jina la utani usijali.
Utajijua mwenyewe [emoji1787][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]mimi huyooooo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] We dada ushanishinda maneno sasa! Kenzy jina la utani usijali.
Yaani hapa nilete maada huko watu wanichangia bando[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana nina mb 5tu
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.

Mpaka amekuita konokono ujue huyo amekukataa kwa nguvu zote.

Anachojaribu kukuambia ni kwamba siyo kila mwanamke unayemtamani lazima umtongoze. Chukua muda wako, soma viashiria vyake kwanza. Wanawake wanapenda kuonyesha mapenzi kwa viashiria. Sasa wewe konokono hujishughulishi kuangalia hivyo viashiria unafikiri kila mwanamke anataka kutongozwa.?
 
Pole sana kwa changamoto za mapenzi.
Ahsante mkuu
Mfa maji haishi kutapatapa
🤣🤣 Bata wewe
Mpaka amekuita konokono ujue huyo amekukataa kwa nguvu zote.

Anachojaribu kukuambia ni kwamba siyo kila mwanamke unayemtamani lazima umtongoze. Chukua muda wako, soma viashiria vyake kwanza. Wanawake wanapenda kuonyesha mapenzi kwa viashiria. Sasa wewe konokono hujishughulishi kuangalia hivyo viashiria unafikiri kila mwanamke anataka kutongozwa.?
😥😥
 
hameni nchi
Kisa nyie mabango .
Kwanza hamna duidu zimelegea .
Nguvu za kume zimeisha
Bado mnahela za mawazo kati ya sisi na nyie nani ahame nchi.
Wanaume hamuwezi piga shoo .
Duidu imelegea kama mlenda.
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Huyo akinita konokono huwa nina dawa yao, ataomba po at the end
 
Back
Top Bottom