Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Mkuu KENZY , sijisifii... ila amini nakuambia kuna vitu ni very common kwa wanawake hapa Duniani regardless ya Asili zao za Uraia, Elimu, kipato n.k


Wanashea hivo vitu, na hapa Duniani aminini nawambia, WANAWAKE NI WATUMWA WA HISIA ZAO WENYEWE.


Ukijua kucheza na HISIA ZAO amini nakuambia 99.9% ya wanawake watahitaji kua nawewe once utakapofanya First Move.





[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] A WOMAN HAS ABSOLUTELY NO CONTROL OVER WHO TO FALL IN LOVE WITH[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

yaan nakuambia, Muulize demu wako , ilikuaje akawa na Nawewe au Washikaji wake wa nyuma??


ATAKUJIBU..."ILITOKEA TU".


HAWAFALL KWA MTU KWA UTIMAMU WA AKILI YAO YAAN AKAE AWAZE ,AKUFIKIRIEEE, NDIO SASA AAMUE KUA NAWEWE AU LAH.


ndio maana kuna demu anaweza kukuzungusha weee Miezi mitatu..lkn kuna mchizi atampiga within 3 days za kujuana kwao.


NAMAANISHA NN??? UKIFANIKIWA KUCHEZA NA HISIA ZA MWANAMKE UNAYEMTAKA.



All the way mtakulana kimasihara na hapo ndio yeye ataanza kukupenda akishirikisha na akili yake.



ENDELEENI KUWATONGOZA KITAKATIFU .. YAAN KATOTO KANA MIAKA 20-26 UNAKATONGOZA KITAKATIFU???? WEE ULISIKIA WAPI[emoji23][emoji23]

sibora kidogoooooooooo Utakatifu uutumie kwa mwanamkd ambaye kapitia mengi ,kaumizwa, umri umeenda, hivo anahitaj mtu wa kutulia kabisaaa ,kwa lugha nyingine itakmchukua miezi karibu mitatu kukukubalia sasa kihisia???( na ukiwa mjanja bado hata huyu ndani ya siku unaouwezo wakumfanya AAMINI KUA MMEJUANA MIEZI MINGI ILIPITA)
Dah! Sawa ndugu we ndo mchawi wao kuchapiwa sisi,kutoswa sisi, kuitwa konokono sisi dah!

Nikichoka naachana nao nafanya Mambo mengine..😅
 
Hata kama umemtongoza, ndo akuite konokono?
Why konokono?
Konokono amemkosea nn jamani na alivo mpole

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yani si angechagua tu kitu kingine.
SIJAPENDA!!!
 
Dah! Sawa ndugu we ndo mchawi wao kuchapiwa sisi,kutoswa sisi, kuitwa konokono sisi dah!

Nikichoka naachana nao nafanya Mambo mengine..😅
Hata ningekuwa mimi!!

Weeee sio kwa kuitwa konokono jamani.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Wako sawa kabisa,

Sisi wanaume tukitongoza alafu mtoto wakike atoe kauli za kilembo huwa tunahesabu huyo keshaingia kwenye 18 ila anavunga tu
🙄
 
sipati picha bwana konokono !
maana naingia nyumbani nakuta watoto wanaangilia movie ya kwa jina Turbo(snail)
IMG_1252.png
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Tena unabahati uitwe konokono
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni aje konokono hahahahaha
Dah! Ni fresh tu mkuu hakuna namna Sasa itabidi nibebe huu msalaba..😅
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ila kweli konokono?.
Daaah!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahahahahaha lol! Halafu ninavyowachukia sasa konokono 🤣🤣🤣 wallahi ningemrusha na tusi pamoja na kuwa sina hulka hiyo kwenye kutongoza.
Kwa kweli mi natamani umrushie tu hata kimoyomoyo.
Kweli kuwmita mwenzie snail?
Dah!!
 
Hata kama umemtongoza, ndo akuite konokono?
Why konokono?
Konokono amemkosea nn jamani na alivo mpole

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yani si angechagua tu kitu kingine.
SIJAPENDA!!!
🤣🤣🤣🤣

Mkuu nacheka lakini inauma! Dah!
 
Back
Top Bottom