Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Umemnunua huyo, na hela imehusika. Sasa huna tofauti na mtu anayekwenda Uwanja wa Fisi kuhemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kukataa hapa ila ukweli unaujua kuwa ni lazima ulijitapa au ulionesha mazingira ya wewe kuwa na hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Haina noma vumilia siku ukimdaka unamchezesha mbele nyuma uamuzi wako tu
 
Sasa kwa ulivyosimulia wewe, huyo dada kakuona una pesa kwa ulivyojionesha, kubali kuwa ni mdangaji na anataka kukuchuna pakubwa. One day wakati hamjuani? Shtuka kaka, usijisifu bomu hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wao hawajielewi! Unakuta lina above 28 na halijaolewa! (Nung^aembe) halafu eti linakujibu..." unikome"!! Khaa...!
🤣 Mkuu tunanena kiroho..🤣
 
Mkuu kumbe ndo wewe ulikuwa unatukanwa mitaa ile aisee yule dada alikuweza ulipoa kama tembele lililopo gengeni wiki nzima.
Sio mimi huyo mi niliitwa tu konokono na akanisonya hakuna chengini..😅
 
Hapa mtaani kwetu kuna kibinti kimoja kinajiona kweli ila kila ashakalamba ila kanajiona kajanja kweli
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Konokono mambo vipi?
 
Dah! Mkuu so we hujawahi kukataliwa..? Ndugu huwa unajipa maneno kichizi yani we ndo wewe duh! Sawa we katafune zigo kwenye Dunia Kuna wanaopata na wanaokosa..😅
 
Mdogo wangu... Sijaanza leo kula tunda kimasihara.
Ila jaribu kuheshimu mwanaume mwenzio, haitokugharimu chochote, usitumie udhaifu wa hiyo demu kumvuniia heshima mwanaume mwenzako, heshima ni kitu cha bure kaka. Maadamu umeshajua AMEOLEWA NA MUME YUPO HAI, achana naye, wapo wengi tu ambao hawajaolewa. #KaziKwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…