Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hujui kuwa kila mtu na nyakati zakeWapo na inazidi zaidi ya hapo, mtu haoni nongwa kukutengea asilimia kidogo kutoka katika kipato chake, kila wiki/mwezi, na hasubiri umlilie shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kuwa kila mtu na nyakati zakeWapo na inazidi zaidi ya hapo, mtu haoni nongwa kukutengea asilimia kidogo kutoka katika kipato chake, kila wiki/mwezi, na hasubiri umlilie shida
Una kwama wapi mkuuHatari sana[emoji28]
Za miaka mkaka?Hujui kuwa kila mtu na nyakati zake
Njema mzungu wa roho[emoji16]Za miaka mkaka?
Nimefurahi kukusoma tenaNjema mzungu wa roho[emoji16]
Hata mimi nimefurahi mno[emoji7]Nimefurahi kukusoma tena
Kwema huko?Nimefurahi kukusoma tena
Yeah kwema Sana tuKwema huko?
Uwe na siku ya barakaYeah kwema Sana tu
Ndiyo Ukweli WenyeweMwanaume unatapanya pesa kwa malaya halafu badae unazikumbuka na kujuta Kwanini ulitumia vibaya hela zako!
HaaHii likizo nilihonga demu mkali 80k nikajua anajua mapenzi kumbe hamna kitu, nikahonga mwingine 50k nikajua anayajua kumbe naye gogo tu. Ningebahatisha anayejua ningebaki kwake ila hawa hapana nahisi upendo hawana maana ushirikiano sifuri. Nimetupa ndoano kwa mtoto wa Tanga huyu naamini anayajua. Kuhonga it depends ana umuhimu gani kwangu
Barikiwa Sana na kwako piaUwe na siku ya baraka
AmenBarikiwa Sana na kwako pia
Hili suala linaendana na kipato cha mtu binafsi.
Elfu hamsini kwa mwingine si kitu, kwake yeye ni sawa na Shilingi Mia tano
Una kwama wapi mkuu
Hiyo si nauli tu,hujalipia lodge,kinywaji mafita km ana usafiri chakula avhilia mbali hela ya supu na kusuka kwasababu ulifumua nywele zake ukila mbususu.
Kiujumla sionani na yeyote km sina 300k
Inategemea viwango vyake bro.Kuna dem alikua ananambia hapa ofisin wanaume wa sasa kukupa 50k ni ngumu sana kwa zama hzi sio kama zmn[emoji28]