Dada zetu mseme ukweli kuna mwanaume wa kukupa 50k zama hizi?

Dada zetu mseme ukweli kuna mwanaume wa kukupa 50k zama hizi?

Dada zetu mpo? Huu uzi ni wenu tunaomba mseme ukweli kuna mwanaume wa kukupa 50k cash zama hzi?

Ukimwelezea shida zako, matatizo mwanaume wako anaweza kukupa 50k bila kinyongo?
Waeleze
 
Mapenzi sio pesa, ila ikikosekana yanapungua..
 
Back
Top Bottom