Unawananga usiowafahamu, wale unaowafahamu (utawatoa blog ya michuzi).Nadhani ungepitia mabandiko yangu ungenielewa. Ukisoma vizuri hapo kwenye red utajua sikumaanisha wote.
Umeona eh?
mwajei , Temea Mate kando Mpenzi, Usithubutu, kukutwaKwani lift inashida gani? Mi napandaga sana tu kwanza ukute nimejichokea jua limenichoma akijilengesha wakunipa lift napanda tunapiga story za uongo na kweli mpk nafika nnapotaka nikishuka hadithi inakuwa imeishia hapo. Sioni tatizo la lift mm maana uamuzi ni wako kama ukiambiwa k2 ukakubaliana nacho.:nerd:
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....
Nadhani ungepitia mabandiko yangu ungenielewa. Ukisoma vizuri hapo kwenye red utajua sikumaanisha wote.
Umeona eh?
sasa wewe ulikuwa hujui kuwa gari ndio kisu cha kunchinjia mwanamke? ndio maana vijana siku hizi wakipata kazi wanachukuwa mikopo na kununua gari ili waweze kudadavua mademu kwa wingi.
Kwa taarifa yako tupo wanawake ambao hatutishiki na magari yenu bhana, mkitupa lift wala hatukatai(usafiri shida sana hapa town) ila kutufanya hamuwezi ng'ooooooo!Tuna misimamo yetu babu wee! Kama mwadhani magari/lift ndo kisu cha kutuchinjia basi imekula kwenu, vitumieni kuwachinja kunguru
jaribu kutoa lift Yaeda uone ka kuna mtu atapanda......nani wa kunyonyesha kobe......
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....
kweli wadada wengi wanapenda lifti ila haimaanishi ni wote. sawa Bramo aka Mr.Liftman?
Mimi ni bora nipande daladala au bajaj kuliko lifti. Lifti zina mambo mengi sana, kuna wengine wanaibiwa na kutelekezwa vilevile kuuwawa kikatili. Kuwaziaga mambo mabaya kama hayo hunifanya nisiwaze kupanda lifti za watu.
Haiingii akilini mwangu kupanda gari ya mtu nisiyemfahamu hata awe mwanamke mwenzangu. kwangu mie Usalama wa maisha yangu ni kitu muhimu.
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....
bibi wee wapo wanawake wengi sana mjini wanaliwa utamu kwa sababu ya magari sasa kama wewesio mmoja wapo sawa tuu. na hao tunaochinja sio kunguru ni wanawake wenye K yenye utamu...sasa kama unawadharau wanawake wenzio hiyo yako sie tunachakachua kwa kwenda mbele na magari yetu
jamani hebu niambieni gari za aina gani ambazo wanawake wanazipenda sana kupewa lift ili na mm ninunue kwasababu kuna kidemu nakitaka
Kunguru ndo hao wanawake mnaochakachua K zao! Sina muda wa kubishana nawewe coz ndo wale wale!!
Yaeda wanapenda wanaume wenye vifua vikubwa vikubwa...kwahiyo watembea kwa miguu ndo wanaonekana kuliko wapanda magari, teh teh teh
Ndahani Naona kuna mtu ananisema kimafumbo, ha ha...Ooh mine! 6 packs iliyotulia, mashallah!! nashindwa elezea...Ni kweli kabisa..si vema kusema wote wanatabia ya kupanda tu gari ili naye aonekane yupo. Wengine wana standard zao na hawadanganyiki kwa gari hata siku moja....wanadanganyika kwa six packs tu. Kazi utawaonyesha wapi kwamba una six packs, teh teh teh
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....
BelindaJacob Hiyo Six Packs from now where utaionea wap sasa, Naendelea kushikilia Msiamamo wangu na Kaka Asprin atakuja hapa tena Kukazia, Wewe Mdada, ukipewa lift na na mwanaume usiye mjua na ukakubali, Suala la Kuelekezewa Kibra linabaki tu kuwa ni Busara za Dereva/SukaNdahani Naona kuna mtu ananisema kimafumbo, ha ha...Ooh mine! 6 packs iliyotulia, mashallah!! nashindwa elezea...
Ila lifti, hapana penda ile kitu..