Dada Zetu na Lift

Dada Zetu na Lift

Kwani lift inashida gani? Mi napandaga sana tu kwanza ukute nimejichokea jua limenichoma akijilengesha wakunipa lift napanda tunapiga story za uongo na kweli mpk nafika nnapotaka nikishuka hadithi inakuwa imeishia hapo. Sioni tatizo la lift mm maana uamuzi ni wako kama ukiambiwa k2 ukakubaliana nacho.:nerd:
 
jamani hebu niambieni gari za aina gani ambazo wanawake wanazipenda sana kupewa lift ili na mm ninunue kwasababu kuna kidemu nakitaka
 
mwajei , Temea Mate kando Mpenzi, Usithubutu, kukutwa
 
Last edited by a moderator:
Mwanamme wa ukweli,atamjali mdada,atamsikiliza na atamsaidia pale anapokuwa na shida,si kwa lengo la kupata ngono,hasha,bali ni kwa kuwa wao ni maua ya ulimwengu
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....
 
Nadhani ungepitia mabandiko yangu ungenielewa. Ukisoma vizuri hapo kwenye red utajua sikumaanisha wote.

Umeona eh?

kabisaa.anyway ni tabia ya mtu tu but inabidi mtu uwe na principles bwana. mi huwa naona kero tu.
 
sasa wewe ulikuwa hujui kuwa gari ndio kisu cha kunchinjia mwanamke? ndio maana vijana siku hizi wakipata kazi wanachukuwa mikopo na kununua gari ili waweze kudadavua mademu kwa wingi.

Kwa taarifa yako tupo wanawake ambao hatutishiki na magari yenu bhana, mkitupa lift wala hatukatai(usafiri shida sana hapa town) ila kutufanya hamuwezi ng'ooooooo!Tuna misimamo yetu babu wee! Kama mwadhani magari/lift ndo kisu cha kutuchinjia basi imekula kwenu, vitumieni kuwachinja kunguru
 
bibi wee wapo wanawake wengi sana mjini wanaliwa utamu kwa sababu ya magari sasa kama wewesio mmoja wapo sawa tuu. na hao tunaochinja sio kunguru ni wanawake wenye K yenye utamu...sasa kama unawadharau wanawake wenzio hiyo yako sie tunachakachua kwa kwenda mbele na magari yetu
 
jaribu kutoa lift Yaeda uone ka kuna mtu atapanda......nani wa kunyonyesha kobe......

Yaeda wanapenda wanaume wenye vifua vikubwa vikubwa...kwahiyo watembea kwa miguu ndo wanaonekana kuliko wapanda magari, teh teh teh
 
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....

Nani anapenda shida zama hizi?
Hata mie mdada akisimamisha gari (ila awe mzuri) from no where akinipigisha stori moja mbili naingia garini, ila ntakuwa na zana...
 
kweli wadada wengi wanapenda lifti ila haimaanishi ni wote. sawa Bramo aka Mr.Liftman?

Mimi ni bora nipande daladala au bajaj kuliko lifti. Lifti zina mambo mengi sana, kuna wengine wanaibiwa na kutelekezwa vilevile kuuwawa kikatili. Kuwaziaga mambo mabaya kama hayo hunifanya nisiwaze kupanda lifti za watu.

Haiingii akilini mwangu kupanda gari ya mtu nisiyemfahamu hata awe mwanamke mwenzangu. kwangu mie Usalama wa maisha yangu ni kitu muhimu.

Ni kweli kabisa..si vema kusema wote wanatabia ya kupanda tu gari ili naye aonekane yupo. Wengine wana standard zao na hawadanganyiki kwa gari hata siku moja....wanadanganyika kwa six packs tu. Kazi utawaonyesha wapi kwamba una six packs, teh teh teh
 
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....

Mzee wamepona kweli usije ukawa umekagua maana da mchumba wangu anapenda lift huyo....teh teh
 
bibi wee wapo wanawake wengi sana mjini wanaliwa utamu kwa sababu ya magari sasa kama wewesio mmoja wapo sawa tuu. na hao tunaochinja sio kunguru ni wanawake wenye K yenye utamu...sasa kama unawadharau wanawake wenzio hiyo yako sie tunachakachua kwa kwenda mbele na magari yetu

Kunguru ndo hao wanawake mnaochakachua K zao! Sina muda wa kubishana nawewe coz ndo wale wale!!
 
jamani hebu niambieni gari za aina gani ambazo wanawake wanazipenda sana kupewa lift ili na mm ninunue kwasababu kuna kidemu nakitaka

wanapenda sana VOXWAGEN BITO AU KOBE.. hiyo Baba uta wanasa tu kama MMBU...........
 
Yaeda wanapenda wanaume wenye vifua vikubwa vikubwa...kwahiyo watembea kwa miguu ndo wanaonekana kuliko wapanda magari, teh teh teh

yah....ni kweli......wewe unajua sana.....na ndio wanafanana hivi.........kama kuna anayefanana hivi aniPM......

226139_3984723491863_2015872309_n.jpg
 
Ni kweli kabisa..si vema kusema wote wanatabia ya kupanda tu gari ili naye aonekane yupo. Wengine wana standard zao na hawadanganyiki kwa gari hata siku moja....wanadanganyika kwa six packs tu. Kazi utawaonyesha wapi kwamba una six packs, teh teh teh
Ndahani Naona kuna mtu ananisema kimafumbo, ha ha...Ooh mine! 6 packs iliyotulia, mashallah!! nashindwa elezea...

Ila lifti, hapana penda ile kitu..
 
Last edited by a moderator:
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid ya 10 Kwa style hiyo hiyo.....

kwani huwa unaombwa au unalazimishwa??? Zaidi ya wewe kujishaua ,shombondoa na kujikosha????
 
Ndahani Naona kuna mtu ananisema kimafumbo, ha ha...Ooh mine! 6 packs iliyotulia, mashallah!! nashindwa elezea...

Ila lifti, hapana penda ile kitu..
BelindaJacob Hiyo Six Packs from now where utaionea wap sasa, Naendelea kushikilia Msiamamo wangu na Kaka Asprin atakuja hapa tena Kukazia, Wewe Mdada, ukipewa lift na na mwanaume usiye mjua na ukakubali, Suala la Kuelekezewa Kibra linabaki tu kuwa ni Busara za Dereva/Suka
 
Last edited by a moderator:
kwani huwa unaombwa au unalazimishwa??? Zaidi ya wewe kujishaua ,shombondoa na kujikosha????
Afadhali yangu mie ninayesema, wapo ambao wanawachinja Kimya kimya, Asprin, njoo kaka, mdogo wako natusiwa huku kwa kuongea ukweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom