mwajei
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 129
- 38
Kwani lift inashida gani? Mi napandaga sana tu kwanza ukute nimejichokea jua limenichoma akijilengesha wakunipa lift napanda tunapiga story za uongo na kweli mpk nafika nnapotaka nikishuka hadithi inakuwa imeishia hapo. Sioni tatizo la lift mm maana uamuzi ni wako kama ukiambiwa k2 ukakubaliana nacho.:nerd: