Dada zetu sasa mmezidi!!!

Dada zetu sasa mmezidi!!!

Tatizo wanafikiri ili
mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu
u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa?
Wasingethubutu kukaanga nywele.

The end justify the means.
 
Hupendi tambaa.......hakikufai sepaaaa!! Unalalamika nini sasa?? Ukiona unaumia macho kuwaangalia, vaa miwani mbao....over!
 
Hivi sehemu Bandia inawasha!! na Utajikuna vipi!!
 
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!

Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!

Shida yote ya nini hii!!

mwanzisha mada hiyo id yako mmmmmhhhhh :thinking:
 
kila kitu bandia sasa tumebakisha kupata watoto bandia kupitia dada zetu
 
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!

Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!

Shida yote ya nini hii!!

Na bado ndo inaanza
 
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.

Madame X: avatar yako bandia yaani inatisha badala ya kupendeza. Samahani kama ni picha yako ya ukweli
 
A photo can speak thousands words!!......



Mungu wangu, nusura nizimie usiku huu kukumbana na hii shida, sijui kama ntalala tena! loh, hao wanawake au matisho? Kweli bandi wote watatu
 
Ushuzi bandia.

Nasikia kuna vidonge vya flavor unayotaka, ukimeza ukijamba ni flavor baadhi yao tayari wanatumia.
 
Back
Top Bottom