Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya kichina babu wewe ukipewa ya kunywa kataa, haijui kuchagua! Utaumuka mwili mzima kama puto! Kwa taarifa yako manyonyo, miguu na makalio tunapaka dawa ya kuongeza! Tumbo tunapaka ya kupunguza!
Hivi kope bandia umetaja, manake zangu kama ufyagio wa choo cha shimo (wa chelewa)
Hata lugha bandia!!!
Mawazo bandia!!
Elimu bandia!!!
Bikra bandia ndiyo ikoje? Au wanaifix vipi? Maana tunajua masaburi bandia wanakunywa vidonge mchina
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.
Ebu tuhabarishe inavyotengenezwa ili tujue plsTatizo wanafikiri ili mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa? Wasingethubutu kukaanga nywele.
Tatizo wanafikiri ili mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa? Wasingethubutu kukaanga nywele.
Wasi wasi wote wa nini, ngoja niseme ukweli,
mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali,
uzuri wangu wa kuzaliwa, maringo kwetu kawaida.
Nikitembea mtakubali, nikicheka mtakubali,
Nikiimba mtazimia eeeh wazi wazi.
Hamuwezi kunyamaza eeh, hamuwezi kunyamaza eeeh,
Hamuwezi kunyamaza eeeh, mpaka mseme kila sikuuuu.
na mshedede siku hizi wanayotumia ya bandia