Dada zetu sasa mmezidi!!!

Dada zetu sasa mmezidi!!!

Utani pembeni maneno ya mtoa thread ni ukweli mtupu.
 
Kwenye 6 x 6 analia Bandia
Anafikia mshindo (orgasm / climax) Bandia
 
Dawa ya kichina babu wewe ukipewa ya kunywa kataa, haijui kuchagua! Utaumuka mwili mzima kama puto! Kwa taarifa yako manyonyo, miguu na makalio tunapaka dawa ya kuongeza! Tumbo tunapaka ya kupunguza!
Hivi kope bandia umetaja, manake zangu kama ufyagio wa choo cha shimo (wa chelewa)

teh teh teh teh teh teh teh teh
 
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.

Wanawake Bwana! Mkiulizwa mnajipamba kwa sababu ya Wanaume. Mnaruka juu na kukana. Nashukuru leo umeongea.
 
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.

Yani wewe jua hata mtu akikupenda, anakupenda Kibandia!.
 
Tatizo wanafikiri ili mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa? Wasingethubutu kukaanga nywele.
Ebu tuhabarishe inavyotengenezwa ili tujue pls
 
Tatizo wanafikiri ili mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa? Wasingethubutu kukaanga nywele.

kwenye nywele askofu kakobè kapiga kelele kuhusu mawigi watu wamepuzia.Haya sasa.
 
Bahati nzuri na ninyi mnapenda BANDIA..............Safi kaka zetu
 
Wasi wasi wote wa nini, ngoja niseme ukweli,
mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali,
uzuri wangu wa kuzaliwa, maringo kwetu kawaida.
Nikitembea mtakubali, nikicheka mtakubali,
Nikiimba mtazimia eeeh wazi wazi.
Hamuwezi kunyamaza eeh, hamuwezi kunyamaza eeeh,
Hamuwezi kunyamaza eeeh, mpaka mseme kila sikuuuu.
 
Wewe utakuwa sio wa bandia maana mashairi uliyoweka hapa si ya bandia!
 
UKWAJU you are very right,unaweza kuogopa kwamba karibia unamuua mtoto wa watu kumbe loh!!!!!!ila hiyo ya mwisho sijabahatika kukutana nayo kabsaaaaaaaaaaaaa,wapi zinapatikana kwa wingi hizi?????
 
Back
Top Bottom