Tatizo wanafikiri ili
mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu
u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa?
Wasingethubutu kukaanga nywele.
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!
Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!
Shida yote ya nini hii!!
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!
Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!
Shida yote ya nini hii!!
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.
kila kitu bandia sasa tumebakisha kupata watoto bandia kupitia dada zetu
utapataje mtoto na dada yako ww?? Uhh.,lazima atakuwa haramu tu, kwenu hakuna miiko eee!kila kitu bandia sasa tumebakisha kupata watoto bandia kupitia dada zetu