GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.
Na wataalam wa Wanyama wanasema kuwa hakuna Viumbe ambao wanajua Kunusa na Kuhisi vile vilivyo mbali au vilivyofichwa kama hawa Wanyama ambao kuna muda tunawaona hawana Akili Kubwa kama zetu lakini kumbe Kiuhalisia kuna Wanyama wengi tu wana Uwezo mkubwa wa mambo kuliko Sisi.
Nilikuwa sijui kwanini Ng'ombe au Mbwa huwa Wakali sana na hata muda mwingine Kuwakimbiza na Kuwabwekea sana Dada zetu kumbe kwa mujibu wa Wanasayansi na Wataalam wa Wayama wanasema kuwa ukiona wanafanya hivyo kwa Mwanamke aliye karibu nawe basi jua huyo Mwanamke anakuwa Hedhini.