Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

Ukiwa ndani ya maji ndio inakata, ukitoka nje ya maji baada ya muda inatoka tena

Nilienda swimming pool na marafiki zangu, mmoja akaniambia hivyo nikasema nijaribu mzigo haukutoka mpaka muda wa kuondoka
Nilikuwa najua Wewe ni Mwanaume kumbe ni Dada yangu kabisa? Basi leo nimekuelewa Dada na nakukubali sana tu.
 
Back
Top Bottom