Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kisa nini nizeeke 😂 si namfuga kijana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usithubutu kuwa mlezi wa wana, weeee utazeeka kabla ya siku zako
Usione ndoa inadumu watu wanavumilia mengi sana, wapo wanaume wanaoishi na wake wavuta bangi na wanawavumilia ndio maana unaona wapo wawili laiti ungejua ya ndani mwao, mwanaume usipokuwa mvumilivu hutapata mke, kila mwanamke ana changamoto zake huwa zinatofautiana tu, ukiacha huyu kwasababu ya tatizo hili ukachukua mwingine basi utakutana na mengineHujawahi kukaa na mwanamke wa kizazi hiki ww
Emu anza kesho uone baada ya mwezi utakuaje 🤣🤣🤣Kisa nini nizeeke 😂 si namfuga kijana
Unachowashauri ni kuwa wawaibe binti za watu waanze nao maisha😡Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya.
Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa.
Ngoja ni wambie kitu vijana wenzangu, sio wasichana wote Tanzania na duaniani wanataka kuhongwa, wapo wasichana na wanawake wengi sana wanatamani kuondoka majumbani kwao na kwenda kuishi na wanaume kwa lengo la kuanzisha maisha yao.
Ni makubaliano tu ndugu yangu, bint kama ana miaka 25 kwanini asioleweUnachowashauri ni kuwa wawaibe binti za watu waanze nao maisha😡
Nitakuja na ps yangu 😂
Kwa nini usimheshimishe kwa kumfuata kwao na kumuomba rasmi?Ni makubaliano tu ndugu yangu, bint kama ana miaka 25 kwanini asiolewe