Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mmmh,kazi ipo mkuu. Ni kweli baadhi yao wanaitumia hiyo kama nguzo ya mapenzi kumbe si kweli.
NN UMeongea vizuri sana, naomba tu niwe mkweli hapa, naingia kwenye mahusiano kwa sababu kuu mbili 1. Sex 2. Romance kama hivyo vitu sipati nachapa mwendo. Ni bora nikawa single tu
That's what I'm talking about. Na wewe si ni mdada?
this is really funny my dia
....mie nadhani ukifika umri wa kuolewa,mwanamke anakuwa desperate kiasi fulani...
...unataka kusettle down,umri unakwenda...wenzio wanaolewa...
...unakuwa deluded into thinking,ukimpress mtu na sex...utaolewa...
..is a mistake,but somehow ina work...because what men need/like is 'sex'..
....we forget kesho na kesho kutwa kuna menopause,......
...ndio maana ndoa nyingi ambazo,zimebase kwenye sex zinayumba after menopause...
sijui naandika nini,but thanks Teamo kwa mada hii nzuri...:target:
Off topic kidogo, wapendwa wana Jf, kuna yeyote humu ndani ana sababu zaidi ya sex ilomfanya akaingia kwenye mahusiano ya mapenzi? Samahani kwa nitakaye mkwaza
Ndoa gani ambazo hazija base kwenye sex bana? Hivi kwa nini watu mnapenda kujifanya eti sex sio muhimu? Sex ni sehemu muhimu sana ktk ndoa au ktk uhusiano wa kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume. Kinyume cha hapo ni kudanganyana tu.
mie mdada mwanawane, mahusiano bila mtarimbo kwangu hicho kitu hakipo,
...sex ni muhimu kwangu na kama mtu tuko incompatible kitandani siwezi olewa naye...
...ila pia ndoa yangu haitabase kwenye sex alone...
..sababu najua, as a woman kipindi kitafika i wont be able to provide...:target:
this is really funny my dia