DADA ZETU WAPENDWA:tunaomba tuwashauri

DADA ZETU WAPENDWA:tunaomba tuwashauri

My bullshit detector is very well calibrated and it can detect bullshit and related mumbo jumbo from miles away. The bottomline here is this: Love has no principle. What worked for you may not necessarily work for somebody else. So the bottom bottomline is this: Do you. Just do you.
 
Mmmh,kazi ipo mkuu. Ni kweli baadhi yao wanaitumia hiyo kama nguzo ya mapenzi kumbe si kweli.
 
Mmmh,kazi ipo mkuu. Ni kweli baadhi yao wanaitumia hiyo kama nguzo ya mapenzi kumbe si kweli.

Sasa nguzo ya mapenzi ni nini?

Maana husemwa eti usipomridhisha mwanamke wako utatombewa (na kutombewa si tusi, ni Kiswahili sanifu).

Au ngoja niwaulize wadada humu ndani. Hivi ukiwa na mwanaume wako ambaye ha last long in bed...one minute man....pampu mbili tu keshapasua mbegu wakati wewe ndo kwanza unaanza kusikilizia maraha. Utakaa naye hadi kuoana naye kweli? If sex was really that bad but everything else was okay, would you really stay with him and be faithful to him? Najua mademu (sio wote) wana tabia ya kuongelea mambo yao ya chumbani...sasa ukisikia rafiki zako wanajigamba jinsi wanaume wao wanavyo lay the pipe...hautashikwa na tamaa ya kumwibia mwanaume wako ambaye hakuridhishi? I find it hard to believe...

Say what you want about sex, but I tell you this....mind-blowing, jaw-dropping, earth-shaking, knee-weakening (yes, if you hit it the right way demu lazima nguvu miguuni kwenye magoti zimwishie hadi anashindwa kusimama) sex can go a long way in keeping a relationship together. I'm not saying it is the glue that can only hold a relationship together...but if the sex is bad....you might as well forget it. Utatombewa.

Hivi mmewahi kujiuliza kwa nini baadhi wanawake hukaa kwenye mahusiano licha ya manyanyaso? Hehehehe...mnaweza kunibishia lakini kuna ukweli kiasi fulani kuwa kama jamaa anamdinya vizuri demu, huyo demu atabaki tu. Hata akiondoka atarudi tu. Mfano mzuri Whitney Houston na Bobby Brown. Juzi juzi tu hapa Whitney mwenyewe amekiri kuwa "the sex was good" akijibu swali kwa nini hakuachana na Bobby mapema licha ya yote Bobby aliyokuwa akimfanyia. Najua sasa wameachana lakini msishangae kusikia wamerudiana tena.

Sasa nasubibiri makombora....cutie patootie upo? What say you?
 
NN UMeongea vizuri sana, naomba tu niwe mkweli hapa, naingia kwenye mahusiano kwa sababu kuu mbili 1. Sex 2. Romance kama hivyo vitu sipati nachapa mwendo. Ni bora nikawa single tu
 
NN UMeongea vizuri sana, naomba tu niwe mkweli hapa, naingia kwenye mahusiano kwa sababu kuu mbili 1. Sex 2. Romance kama hivyo vitu sipati nachapa mwendo. Ni bora nikawa single tu

That's what I'm talking about. Na wewe si ni mdada?
 
Taemo nashukuru kwa ushauri mzuri, lkn nina swali esp kwa wakaka,
kwa kuwa imeandikwa ktk Bible kuwa tamaa ya mwanamke ni juu ya mwanaume, na kwa kuwa mnajua kabisa wanawake ni wadhaifu kwa wanaume kwenye masuala ya kufanya mapenzi, kwanini basi at first place mnataka kufanya nao mapenzi???? maana mens ndio wachokozi zaidi!
 
....mie nadhani ukifika umri wa kuolewa,mwanamke anakuwa desperate kiasi fulani...
...unataka kusettle down,umri unakwenda...wenzio wanaolewa...
...unakuwa deluded into thinking,ukimpress mtu na sex...utaolewa...
..is a mistake,but somehow ina work...because what men need/like is 'sex'..
....we forget kesho na kesho kutwa kuna menopause,......
...ndio maana ndoa nyingi ambazo,zimebase kwenye sex zinayumba after menopause...
sijui naandika nini,but thanks Teamo kwa mada hii nzuri...:target:
 
Off topic kidogo, wapendwa wana Jf, kuna yeyote humu ndani ana sababu zaidi ya sex ilomfanya akaingia kwenye mahusiano ya mapenzi? Samahani kwa nitakaye mkwaza
 
Ndoa gani ambazo hazija base kwenye sex bana? Hivi kwa nini watu mnapenda kujifanya eti sex sio muhimu? Sex ni sehemu muhimu sana ktk ndoa au ktk uhusiano wa kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume. Kinyume cha hapo ni kudanganyana tu.

Umeshawahi kujiuliza kwa nini make up sex ni tamu sana? Olooo I can't live without sex
 
Off topic kidogo, wapendwa wana Jf, kuna yeyote humu ndani ana sababu zaidi ya sex ilomfanya akaingia kwenye mahusiano ya mapenzi? Samahani kwa nitakaye mkwaza

Watakwambia 'companionship'. Lakini hata hiyo ni fiksi tu. Sex ndio msingi mkuu wa uhusiano baina ya mwanamke na mwanaume. Ingekuwa sivyo basi watu wange date tu na hakuna kudinyana wala nini. Au wangeoana na kuzaa watoto kwa kutumia in-vitro na si the old fashion way.

Sex ndio mwanzo na mwisho wa mahusiano. Zaidi ya hapo ni blahzey blahzey tu
 
Ndoa gani ambazo hazija base kwenye sex bana? Hivi kwa nini watu mnapenda kujifanya eti sex sio muhimu? Sex ni sehemu muhimu sana ktk ndoa au ktk uhusiano wa kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume. Kinyume cha hapo ni kudanganyana tu.

...sex ni muhimu kwangu na kama mtu tuko incompatible kitandani siwezi olewa naye...
...ila pia ndoa yangu haitabase kwenye sex alone...
..sababu najua, as a woman kipindi kitafika i wont be able to provide...:target:
 
Umesema kweli. Sex ni muhimu sana lakini si kila kitu kwenye mahusiano lakini kukosekana kwake, hasa mwanzoni na katikati ya uhusiano basi huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa huo uhusiano. Sijui kama nimeeleweka....

Kwanza sielewi mtu utatokaje na mtu ambaye hakuvutii sexually? Mimi nataka nikikuona tu jogoo awike....sitaki mtu ambaye nitahangaika kumwikisha jogoo wagu.
 
Hapo ndipo mnapoharibu kabisa, suala la mahusiano, mapenzi, ndoa na chochote kinachohusiana na suala hili sidhani kama kina ukawaida au ushauri, kila ndoa au mahusiano yana katiba zake, na kila mwenza hujua ni kipi muhimili wake katika mahusiano, hebu tusijazane ujinga, kama wewe hauamini kuwa ngono ni muhimili wa mahusiano hebu mpotezee my wife wako kwa kama mwezi hivi uone kama kutakuwa na maelewano mazuri ndani!
 
umenena kaKA
very true
jimbo la tarime ni lako!!!!!
 
Back
Top Bottom