Men age like fine wine. So kama hana leo, kesho atapataSasa mwanaume huna kipato Cha kueleweka unatongoza ili iweje?
Pambaff! Olewa wewe badala yake!Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Roho wa uzinzi amekujaa, hujielewi siyo kosa lako. Ndoa ni ibada.Pambaff! Olewa wewe badala yake!
nipewe mm nmuoe aiseeeNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Halafu mara nyingi wanaokosa waume huwa ni wanawake waziri. Nadhani ni figisu na ushetani wa wanadamu ndiyo huwaharibu.Kupata mme ni kazi kwao!
Umemchunguza vzr dadako co Tomboy?Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
WEKA PICHA YA DADA'AKO FASTA, TUKUPE MWONGOZO HAPA!!!Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Sasa SI Bora usubili kesho upate kuliko kijiingiza kwenye vitu ambavyo vitazidi kukucheleweshaMen age like fine wine. So kama hana leo, kesho atapata