- Thread starter
- #121
Hatutaki dada yetu ageuke kuwa kahaba, awe anachezewa na kila mwanaume hapa mjini. Ni aibu kwa familiaInaonekana nyie ndio mna presha zaidi kuliko mhusika. Na nyie ndionasababisha watu wafanye maamuzi ya ajabu ajabu. Kuolewa mtu ndio hadi unaandika jf? Tena 26 yrs,😬😬😬