Nina kibabe changu kidogo dogo kimezaliwa kati ya 2000 - 2005, kipo chuo ndio hawa hawa suppliers wa UTI sugu na yaambatanayo
Sasa juzi saa 8 usiku kimenitumia text eti nakipa daddy vibes na makopa kopa ya kutosha and she likes it...
Hii daddy vibe wengine wanaita daddy energy ni nini tujifunze hapa....