Daddy vibe/Daddy energy ni nini hiki nyie watoto wa 2000

Daddy vibe/Daddy energy ni nini hiki nyie watoto wa 2000

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Nina kibabe changu kidogo dogo kimezaliwa kati ya 2000 - 2005, kipo chuo ndio hawa hawa suppliers wa UTI sugu na yaambatanayo

Sasa juzi saa 8 usiku kimenitumia text eti nakipa daddy vibes na makopa kopa ya kutosha and she likes it...

Hii daddy vibe wengine wanaita daddy energy ni nini tujifunze hapa....
 
Back
Top Bottom