MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Jomba mimi kabla ya kununua kitu chochote lazima nijue vipimo vya package. Yaani kabla Silent Ocean hawajanipa bei tayari ninakuwa na makadirio yangu binafsi. Na mara nyingi huwa wako chini zaidi. Ila nashukuru kwa ushauriSiku nyingine usilipe pesa kubwa kama hiyo kwa agent bila ku verify vipimo mwenyewe.
Mimi walinikadiria 1.8mil nikafunga safari kwenda dsm tukapima na tape measure nikiwa naona kumbe watu wao wa china waliover estimate! Badala ya 1.8mil nikalipa 1.3mil! Nika save laki5 nzima!
Na wengi hawajajua bado ila ina hela sana.Bado kuna vijiji vingi wanafanya hivyo
Yeah muhimu sana 👊Mi kadogo tu, Ila Nina marafiki au watu wa karibu ambao - nafurahia kuzungukwa nao.
👉Una pewa story za kuanzia mahindi, Hadi bishara ya samaki.
Hata hapa jf, nina watu wengi- ni issue ya kuwa tumia effectively.
Jomba mimi kabla ya kununua kitu chochote lazima nijue vipimo vya package. Yaani kabla Silent Ocean hawajanipa bei tayari ninakuwa na makadirio yangu binafsi. Na mara nyingi huwa wako chini zaidi. Ila nashukuru kwa ushauri
Kweli mkuu. Kujua vipimo ni muhimu sana. Watu wengi ni wavivu kusoma specifications za mzigo au hata kumuuliza muuzajiNakubaliana na wewe ila kilichonikuta ni hiki..
Kiwandani walinipa vipimo vya mzigo na silent ocean wakanipa vyao, nikajiuliza why hawa jamaa vipimo vyao vimeachana sana na sio kawaida! Maana mara zote huwa nakuga either wako sawa au wanapishana kidogo sana!
Baada ya kuona hivyo ndio ikabidi niende dsm mwenyewe ku verify! Ningelipa kichwa kichwa hamna rangi ningeacha ona!
Pia kujua kiasi makadirio binafsi ni rahisi ni unachukua cbm ulizopewa na supplier wako then unazidisha na rate ya agent!
Ni nzuri ila na wewe unatakiwa uwe na hela za mahitaji yako mengine. Ni biashara inayohitaji subiraNa wengi hawajajua bado ila ina hela sana.
Ili kuona matunda yake Kodi na nyumba huko huko Kijijini kwaajili ya kufanya store za nafaka unazopota Kwa Wakulima
Baada ya miezi 2/3 unakuta una Tani za kutosha za mazao
Sahihi MkuuNi nzuri ila na wewe unatakiwa uwe na hela za mahitaji yako mengine. Ni biashara inayohitaji subira
Unashangaa hao mkuu? Bar maid mwenyewe anaringa na kila mwisho wa mwezi anakatwa mpaka hela ya glass aliyovunja anabaki na 20k tu. Ground pagumu sanaNje ya mada..
Hivi kumbe hutu tudada dada natotuonaga tunauza maduka ya simu full kuringa ringa na kuongea kwa nyodo, kujidai tu slay queen, kumbe tunalipwa laki tu kwa mwezi..?🙄
😂😂😂😂 Unajiita tajiri halafu unalia na makadirio ua TRA 😂😂😂 njaa mpaka kwenye ukucha😂😂😂 na bado mpaka njaa ikuue mwaka huu wewe na ukoo wako woteNdio kitu na mm nimefanyiwa asa naona wadau hapa Wanasema hapo hvo...
Faida mbona kubwa na nzuri?
Kulipwa mshahara ni faida, pia chakula, na Mambo mengine ndiyo faida yenyewe ya biashara.
Ni wewe kuishi na kuwawezesha wengine kuishi.
Endelea tu.
Watu wengi huacha biashara kwa sababbu hela inaybaki baada ya matumizi ni ndogo.Amepiga net profit kutoka.
Inaonekana anatunza ndio maana ana rekodi za.kila kitu ila.hajui kuwa alichokadiriwa si sahihi..TRA wana njia 2 za kukadiria kodi. Kwanza ni mtu anayetunza kumbukumbu/hesabu pili ni mtu asiyetunza.
Sasa jamaa inaonekana hatunzi so wanamkadiria kutokana na uzoefu wao TRA.
Angekua anatunza hesabu zake angelipa kodi ndogo sana!
Waiona ndogo hiyo 100,000?Nje ya mada..
Hivi kumbe hutu tudada dada natotuonaga tunauza maduka ya simu full kuringa ringa na kuongea kwa nyodo, kujidai tu slay queen, kumbe tunalipwa laki tu kwa mwezi..?[emoji849]
Mi nadaiwa toka 2015 hadi leoKama umefunga biashara wajulishe TRA na Manispaa ili kuepusha matatizo baadae. Wajulishe kwa maandishi
Lipa ndugu usiingie matatizoniMi nadaiwa toka 2015 hadi leo
Kweli kabisa,,Biashara hizi ndogo ndogo zenye mtaji wa chini ya 10M kusavaivu ndani miaka mitatu ni ngumu sana mwaka jana nami nilifunga duka baadaya ya kutoona faida kutokana na gharama kubwa ya uendeshaji kwa mfano
1. Tra 250,000
2. Leseni jiji 200,000(phones and accessories)
3. Kodi jengo (150,000*12)=1,800,000
4. Umeme (10,000*12)=120,000
5. Afu kuna hawa jamaa wa fire niliwakataa
6. Posho ya mfanyakazi (100,000*12)=1,200,000
7.ulinzi (10,000*12) =120,000
8. Usafi na mengineyo=100,000
9. Service levy( hapa niligoma kabsa kutoa) wakatisha kufunga biashara wakanipa control number kwa lazima ila sikulipa
Kwa gharama Hizi kutoboa ni ngumu sana aisee bora niendelee kuajiliwa ila biashara ni big no kabsa