Dagaa nyama (uono) kutoka Tanga

Dagaa nyama (uono) kutoka Tanga

kokaumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
398
Reaction score
177
Kwa wale wateja wangu wa dagaa nyama toka Tanga, ninawakaribisha kuweka oda...bei imepanda kidogo....kwa jumla kg 7000, kwa rejareja 9000...
Hawa ni dagaa kutoka Tanga, dagaa waliochemshwa ndipo wakakaushwa...ni watamu sana na hawana michanga hata kidogo, ni wasafi 100%. Dagaa hawa unaweza kuwala bila hata ya kupika, unatafuta ndimu yako, unashushia na ugali...karibuni sana...Nimehamia maeneo ya Keko sasa...0766662256.
Screenshot_20200426-185924_Instagram.jpg
images (7).jpeg
IMG-20200429-WA0005.jpg
 
Nina almost 2 years sijagusa ugali... itabidi nikutafute siku moja manake dagaa ni miongoni mwa mboga chache sana zinazoweza kunishawishi kula ugali!!
 
Nina almost 2 years sijagusa ugali... itabidi nikutafute siku moja manake dagaa ni miongoni mwa mboga chache sana zinazoweza kunishawishi kula ugali!!
hakika utafurahi sana
 
Back
Top Bottom