The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..
sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja
najiuliza ninikimetokea?
kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?
nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?
cc Kaunga ....

Last edited by a moderator: