Dagaa wa Kigoma, What happened?

Dagaa wa Kigoma, What happened?

Nilinunua dagaa wa kigoma Kariakoo July 5-2015 kwa bei ya 34000/= nilishangaa kidogo mara ya mwisho nilinunua 2013 kwa bei ya 25000/= nadhania huko mbele hawa dagaa hawata patikana kabisa sababu hata kkoo ni mtu mmoja tu nilimuona anauza!
 
mimi sipendi dagaa wa aina yeyote ile mimi nyama kwenda mbele labda ninapofulia nakula shingo upande

Dagaa Kigoma ni tofauti kiladha ndugu....usiombe ukakutana na mtu anayejua kuwapika vizuri hao wadudu....utanielewa.....ila duh bei expensive kuliko kuku,samaki!
 
Back
Top Bottom