Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena basi ukikuta msimu wa 'mbala mwezi' kilo waambiwa elfu 20-25.
kanjni ranisi tu ya biashara nadhani ambauo ni mahitaji yakiongezeka na bei inapanda.
Yaaani The Boss hata nashangaa hii misumari ya bati ya Kigoma ilivyopanda bei. Zamani ulikiwa ukila sana dagaa unaonekana imeishiwa.
Tutakula wa ziwa Victoria kwani function yake mwilini ni ile ile.
Nafuta soko sana kama una mchongo ninyooshe.ha haaa wewe....haya ...
una soko kubwa la uhakika?
Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..
sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja
najiuliza ninikimetokea?
kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?
nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?
cc Kaunga ....
Demand imekuwa kubwa sana ukilinganisha na supply ya hao dagaa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya walaji. Miaka ya nyuma baadhi ya Watanzania walikuwa wanaona dagaa ni mboga ya kimaskini lakini miaka ya hivi karibuni wengi ametokea kuwapenda na hivyo kuongezeka kwa walaji kwa kiwango cha juu sana. Sasa dagaa wale wapikwe na mawese kasha ugali wa mahindi uliochanganywa na uga wa muhogo. Unaweza kujitafuna vidole. Pia kuna dagaa wabichi toka huko huko Kigoma hawa nao ni watamu sana, wapikwe kwenye chungu kasha waungue kiasi mhhhhh! YUMMY!!!! Mie kinachonitia wasiwasi ni baadhi ya habari nilizosoma kwamba kutokana na pollution ya kutisha ziwa Tanganyika dagaa hawa watamu wanaweza kupotea miaka ijayo na kubaki kuwa history tu.
CC: Fixed Point
Mkuu logistic kama zipi ambazo zinasabisha hilo zoezi kuwa gumu?HAKUNA KINACHOSHINDIKANA UNDER THE SUN!ingawa ni zoezi gumu logistic etc lets make a deal
Mkuu chanzo kikubwa cha bei kubwa ni uhaba wa upatikanaji wa dagaa wenyewe kutoka ziwani, ambao inaweza kuwa umeshabishwa na uvuvi haramu uliosababisha kuharabika kwa mzalia ya hao dagaa wenyewe pia hata mabadiliko ya kimazingira. kwa sasa kwa asilimia kubwa ile kazi imekuwa ya kubahatisha sana mvuvi anaweza kwenda hata mara 10 akapata kidogo so siku hata akipata kikubwa anataka kufidia ghalama zake za uvuvi kama vile mafuta , sio tu dagaa wa kigoma hata kwa Mwanza kuna tatizo la upatikanaji wa sangara sio kama miaka ile ya nyuma kuwa ukienda Mwanza basi lazima upate sangara.Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..
sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja
najiuliza ninikimetokea?
kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?
nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?
cc Kaunga ....
yaani wewe hadi dagaa wa kigoma watajwe ndo unatokea?
mbona wa mwanza hawapandi bei?
nahisi kuna kitu,usikute upande wa DRC wanavuna high scale'
wanauza nje
Sio dagaa tu hata samaki wako juu sana. Ng'ombe ni cheap kuliko dagaa, na kuku wa kienyeji ni cheap kuliko samaki.
Kutajiwa sh 70,000 kwa sangara mwenye kilo 5 ni kitu cha kawaida, sh 25,000 kwa kuhe wa kilo 2 ni kawaida tu. Migebuka 2 ambayo hata 1/2 ni jubahatisha sh 5,000 yaani bora ununue frozen Sato from mwanza.
Vijiji vya mwambao wa ziwa, sasa wanakula dagaa wa mwanza, na kwa kujifariji wanawasifia.
Tatizo ni nini?
Kwa maoni yangu, pamoja na uvuvi duni dagaa wanauzwa sana nchi za jirani. So wanalanguliwa sana mwaloni na hivyo kufanya bei kuwa juu hata hapa kigoma.
Uwepo wa wacongo, warundi ambao ndio wamuliki wa boats za uvuvi na wenyeji kuwa wafanyakazi tu. Hao watu wana masoko yao kwenye nchi zao, hivyo mazao mengi ya ziwani kusafirishwa nje.
BTW operation wahamiaji haramu imesaidia kidogo kushusha bei ( ingawa na msimu wa upepo/wimbi kusaidia), nimemnunulia mama yangu kilo sh. 8,000 nasikia Karema (mpanda) kilo ni sh 4,000.
Sababu zingine ni low catch, wavuvi wanasema dagaa wamepungua ukilingalinisha na zamani; tafiri wanawaback up kwa kusema climate change imesababisha mchanganyo wa maji ya juu na chini kupungua na hivyo O2 haipenyezi vizuri chini.

Dagaa apate mpikaji aisee utajing'ata ulimi.
Mkuu kwa wakazi wachache wa kigoma niliwahi kuongea nao nikiwa kule KUHE ndiyo samaki mtamu na anapendwa sana wao wanamfananisha kama kuku wa ziwani japokuwa upatikanaji wake pia ni adimu sio kama mgebuka ambao wanaliwa sana kutokana na upatikanaji wao pia hata ghalama yake iko chini sio kama KUHEkuhe,migebuka,sangara..
samaki wapi wazuri au watamu sana?
most preferable? and why?
kuhe,migebuka,sangara..
samaki wapi wazuri au watamu sana?
most preferable? and why?