Dagaa wa Kigoma, What happened?

Dagaa wa Kigoma, What happened?

Tena basi ukikuta msimu wa 'mbala mwezi' kilo waambiwa elfu 20-25.
kanjni ranisi tu ya biashara nadhani ambauo ni mahitaji yakiongezeka na bei inapanda.

Wanyasa nao majanga toka mgogoro wa ziwa nyasa uanze.
 
Yaaani The Boss hata nashangaa hii misumari ya bati ya Kigoma ilivyopanda bei. Zamani ulikiwa ukila sana dagaa unaonekana imeishiwa.

Tutakula wa ziwa Victoria kwani function yake mwilini ni ile ile.

aaahh we Githeri, function bwana sio sawa!!!

ukila wa kigoma, unaweza kuimba kama diamond, baba levo, and ali kiba!!

sasa sijui kwenye kupaa na ungo! teh teh teh!!

msinitafuta!

via emperor to Heaven on earth!
 
Last edited by a moderator:
Demand imekuwa kubwa sana ukilinganisha na supply ya hao dagaa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya walaji. Miaka ya nyuma baadhi ya Watanzania walikuwa wanaona dagaa ni mboga ya kimaskini lakini miaka ya hivi karibuni wengi wametokea kuwapenda na hivyo kuongezeka kwa walaji kwa kiwango cha juu sana. Sasa dagaa wale wapikwe na mawese kisha ugali wa mahindi uliochanganywa na unga wa muhogo. Unaweza kujitafuna vidole. Pia kuna dagaa wabichi toka huko huko Kigoma hawa nao ni watamu sana, wapikwe kwenye chungu kisha waungue kiasi mhhhhh! YUMMY!!!! Mie kinachonitia wasiwasi ni baadhi ya habari nilizosoma kwamba kutokana na pollution ya kutisha ziwa Tanganyika dagaa hawa watamu wanaweza kupotea miaka ijayo na kubaki kuwa history tu.

CC: Fixed Point

Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..

sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja

najiuliza ninikimetokea?

kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?

nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?

cc Kaunga ....
 
Demand imekuwa kubwa sana ukilinganisha na supply ya hao dagaa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya walaji. Miaka ya nyuma baadhi ya Watanzania walikuwa wanaona dagaa ni mboga ya kimaskini lakini miaka ya hivi karibuni wengi ametokea kuwapenda na hivyo kuongezeka kwa walaji kwa kiwango cha juu sana. Sasa dagaa wale wapikwe na mawese kasha ugali wa mahindi uliochanganywa na uga wa muhogo. Unaweza kujitafuna vidole. Pia kuna dagaa wabichi toka huko huko Kigoma hawa nao ni watamu sana, wapikwe kwenye chungu kasha waungue kiasi mhhhhh! YUMMY!!!! Mie kinachonitia wasiwasi ni baadhi ya habari nilizosoma kwamba kutokana na pollution ya kutisha ziwa Tanganyika dagaa hawa watamu wanaweza kupotea miaka ijayo na kubaki kuwa history tu.

CC: Fixed Point

ni hatari mno aisee wakipotea
 
Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..

sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja

najiuliza ninikimetokea?

kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?

nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?

cc Kaunga ....
Mkuu chanzo kikubwa cha bei kubwa ni uhaba wa upatikanaji wa dagaa wenyewe kutoka ziwani, ambao inaweza kuwa umeshabishwa na uvuvi haramu uliosababisha kuharabika kwa mzalia ya hao dagaa wenyewe pia hata mabadiliko ya kimazingira. kwa sasa kwa asilimia kubwa ile kazi imekuwa ya kubahatisha sana mvuvi anaweza kwenda hata mara 10 akapata kidogo so siku hata akipata kikubwa anataka kufidia ghalama zake za uvuvi kama vile mafuta , sio tu dagaa wa kigoma hata kwa Mwanza kuna tatizo la upatikanaji wa sangara sio kama miaka ile ya nyuma kuwa ukienda Mwanza basi lazima upate sangara.
 
yaani wewe hadi dagaa wa kigoma watajwe ndo unatokea?

mbona wa mwanza hawapandi bei?
nahisi kuna kitu,usikute upande wa DRC wanavuna high scale'
wanauza nje

hakuna kitu cha hivyo. Sema kuongezeka kwa watu na uvunaji duni vimewapaisha
 
yani mkuu The Boss it's really strange, mi nmekuja kigoma kikazi mwaka huu nkajua ntapiga na kabiashara ka pembeni ka dagaa duh kucheki bei yake huku tuu balaa kuna kipindi inafika hadi 18,000?
 
Sio dagaa tu hata samaki wako juu sana. Ng'ombe ni cheap kuliko dagaa, na kuku wa kienyeji ni cheap kuliko samaki.
Kutajiwa sh 70,000 kwa sangara mwenye kilo 5 ni kitu cha kawaida, sh 25,000 kwa kuhe wa kilo 2 ni kawaida tu. Migebuka 2 ambayo hata 1/2 ni jubahatisha sh 5,000 yaani bora ununue frozen Sato from mwanza.

Vijiji vya mwambao wa ziwa, sasa wanakula dagaa wa mwanza, na kwa kujifariji wanawasifia.

Tatizo ni nini?
Kwa maoni yangu, pamoja na uvuvi duni dagaa wanauzwa sana nchi za jirani. So wanalanguliwa sana mwaloni na hivyo kufanya bei kuwa juu hata hapa kigoma.

Uwepo wa wacongo, warundi ambao ndio wamuliki wa boats za uvuvi na wenyeji kuwa wafanyakazi tu. Hao watu wana masoko yao kwenye nchi zao, hivyo mazao mengi ya ziwani kusafirishwa nje.

BTW operation wahamiaji haramu imesaidia kidogo kushusha bei ( ingawa na msimu wa upepo/wimbi kusaidia), nimemnunulia mama yangu kilo sh. 8,000 nasikia Karema (mpanda) kilo ni sh 4,000.

Sababu zingine ni low catch, wavuvi wanasema dagaa wamepungua ukilingalinisha na zamani; tafiri wanawaback up kwa kusema climate change imesababisha mchanganyo wa maji ya juu na chini kupungua na hivyo O2 haipenyezi vizuri chini.
 
Dah aisee
sangara elfu 70?
naona nianze kufuga sangara sasa...
hii operesheni ya kufukuza wahamiaji haramu itiliwe mkazo kumbe
 
Sio dagaa tu hata samaki wako juu sana. Ng'ombe ni cheap kuliko dagaa, na kuku wa kienyeji ni cheap kuliko samaki.
Kutajiwa sh 70,000 kwa sangara mwenye kilo 5 ni kitu cha kawaida, sh 25,000 kwa kuhe wa kilo 2 ni kawaida tu. Migebuka 2 ambayo hata 1/2 ni jubahatisha sh 5,000 yaani bora ununue frozen Sato from mwanza.

Vijiji vya mwambao wa ziwa, sasa wanakula dagaa wa mwanza, na kwa kujifariji wanawasifia.

Tatizo ni nini?
Kwa maoni yangu, pamoja na uvuvi duni dagaa wanauzwa sana nchi za jirani. So wanalanguliwa sana mwaloni na hivyo kufanya bei kuwa juu hata hapa kigoma.

Uwepo wa wacongo, warundi ambao ndio wamuliki wa boats za uvuvi na wenyeji kuwa wafanyakazi tu. Hao watu wana masoko yao kwenye nchi zao, hivyo mazao mengi ya ziwani kusafirishwa nje.

BTW operation wahamiaji haramu imesaidia kidogo kushusha bei ( ingawa na msimu wa upepo/wimbi kusaidia), nimemnunulia mama yangu kilo sh. 8,000 nasikia Karema (mpanda) kilo ni sh 4,000.

Sababu zingine ni low catch, wavuvi wanasema dagaa wamepungua ukilingalinisha na zamani; tafiri wanawaback up kwa kusema climate change imesababisha mchanganyo wa maji ya juu na chini kupungua na hivyo O2 haipenyezi vizuri chini.

kuhe,migebuka,sangara..
samaki wapi wazuri au watamu sana?
most preferable? and why?
 
yaani wewe hadi dagaa wa kigoma watajwe ndo unatokea?

mbona wa mwanza hawapandi bei?
nahisi kuna kitu,usikute upande wa DRC wanavuna high scale'
wanauza nje

August nilizunguka masoko mawili bila mafanikio, soko la tatu la pale karibu na kijiji cha Mzizima Ilala sijui Bungoni au wapi ndo nikapata. Bei yao si ya kawaida. Lakini nilihangaika huko kote sababu ya sifa ya dagaa wao kutokuwa na mchanga, pia dagaa wao ni wa maji baridi waliorutubishwa toka mizoga ya kwenye mtiririko great lift valley, ni wazuri, watamu na wasio na mchanga, wa Mwanza tunaogopa Appendix bana.

Nililazimika kuzunguka kuwapata maana walikuwa dagaa wa maonyesho na zawadi kwa watu wa kimataifa vinginevyo aibu kuwapa dagaa waliojaa mchanga ni fedheha.
 
kuhe,migebuka,sangara..
samaki wapi wazuri au watamu sana?
most preferable? and why?
Mkuu kwa wakazi wachache wa kigoma niliwahi kuongea nao nikiwa kule KUHE ndiyo samaki mtamu na anapendwa sana wao wanamfananisha kama kuku wa ziwani japokuwa upatikanaji wake pia ni adimu sio kama mgebuka ambao wanaliwa sana kutokana na upatikanaji wao pia hata ghalama yake iko chini sio kama KUHE
 
Mie nimebahatika kuwala migebuka, kuhe na sangara, ukiniwekea samaki wa kukaanga kuhe, migebuka na sangara, na mchicha kwa ugali sitagusa sangara au kuhe hii ni kwa sababu migebuka ni watamu sana ukilinganisha na sangara.

kuhe,migebuka,sangara..
samaki wapi wazuri au watamu sana?
most preferable? and why?
 
Ulivyosikia kilo 15,000 ukajua shemeji anapiga panga kodi ya meza.
Ila kuwa mwangalifu siku hizi hata Wanyamwezi wamekuwa na ujasiri wa Kaskazini kidogo.

Cc: Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom