Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..
sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja
najiuliza ninikimetokea?
kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?
nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?
cc Kaunga ....
Tena basi ukikuta msimu wa 'mbala mwezi' kilo waambiwa elfu 20-25.
kanjni ranisi tu ya biashara nadhani ambauo ni mahitaji yakiongezeka na bei inapanda.
Mie nilikwenda kigoma nikitegemea nitarudi na dagaa wa kufa mtu lakini niliambulia kurudi mikono mitupu,nilipouliza niliambiwa ni musimu lakini nimejaribu kufuatilia bei haishuki kabisa.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mi nataka walio hai nifuge
we unaweza leta wakiwa hai dar?
au vifaranga vyake?
wa Mwanza mchanga mtupu nani anataka. Halafu ukumbuke 'zamani' unayoizungumzia soko halikuwa kubwa. Sasa hivi watu wanavua na kuuza kila pembe ya nchi na hata nje ya nchi.yaani wewe hadi dagaa wa kigoma watajwe ndo unatokea?
mbona wa mwanza hawapandi bei?
nahisi kuna kitu,usikute upande wa DRC wanavuna high scale'
wanauza nje
wa Mwanza mchanga mtupu nani anataka. Halafu ukumbuke 'zamani' unayoizungumzia soko halikuwa kubwa. Sasa hivi watu wanavua na kuuza kila pembe ya nchi na hata nje ya nchi.
Kwa DRC sijui.
Halafu hao kuku wa elfu tano ni wepi kwanza?
Mi mwenyewe nafuga, nimekuuliza kimtego nikadhani una mahala unanunua wa kienyeji kwa bei hiyokuku wa elfu tano wa kisasa kwa wanaofuga
huna jirani anaefuga?
Yaaani The Boss hata nashangaa hii misumari ya bati ya Kigoma ilivyopanda bei. Zamani ulikiwa ukila sana dagaa unaonekana imeishiwa.
Tutakula ya ziwa Victoria kwani function yake mwilini ni ile ile.