Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

Kama hujui na unaongea kimalikia na mtu ita tu
  1. Small Fish
  2. Young Fish
  3. Short Fish
  4. Young pilchard


Ila wenyewe wanaita Sardine
 
Sardine au seafood, majina yana maana sawa mkuu!!

Angalia neno rahisi unaloweza kutamka kati ya hayo.
 
Back
Top Bottom