Dah, aisee Warangi wazuri sana

Kwanza hawana shepu , wamekomaa miguu , pia wanasura za kujichubua halafu sasa vimekomaa sura kama jiko la shule
Weeeee labda uliyekutana nae sio mrangi, sura zao ni natural beauty huwezi kufananisha na sura yako hiyo ya Kinyang'au...! 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…