Dah, aisee Warangi wazuri sana

Dah, aisee Warangi wazuri sana

Kwanza hawana shepu , wamekomaa miguu , pia wanasura za kujichubua halafu sasa vimekomaa sura kama jiko la shule
Weeeee labda uliyekutana nae sio mrangi, sura zao ni natural beauty huwezi kufananisha na sura yako hiyo ya Kinyang'au...! 🤣
 
Back
Top Bottom