SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kwanza hawana shepu , wamekomaa miguu , pia wanasura za kujichubua halafu sasa vimekomaa sura kama jiko la shuleSasa kwa kipi haswa ulicho nacho mpaka uwashinde Warangi wewe...! Loh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hawana shepu , wamekomaa miguu , pia wanasura za kujichubua halafu sasa vimekomaa sura kama jiko la shuleSasa kwa kipi haswa ulicho nacho mpaka uwashinde Warangi wewe...! Loh.
Nipo humu Kila siku mbona 😂😂😁umetokea wapi tena nawewe 😂
Huyu ni Odo wangu mkuuKumekuchaaaaa...!
In King Majuto's Voice.
Yaaaani leo unalo my dear...! 😂umetokea wapi tena nawewe 😂
Upo sahihi Kuna mmoja anatembeza huyo kama sio yake mweusiiiiMatahira wanaoa warangi ila wenye akili zao wanawazalisha wanasepa au wanakula wanapita hivi
Weeeee labda uliyekutana nae sio mrangi, sura zao ni natural beauty huwezi kufananisha na sura yako hiyo ya Kinyang'au...! 🤣Kwanza hawana shepu , wamekomaa miguu , pia wanasura za kujichubua halafu sasa vimekomaa sura kama jiko la shule
yaani 😂Yaaaani leo unalo my dear...! 😂
Mi sijapinga mzee baba...! 😂Huyu ni Odo wangu mkuu
Hivo hivo lakn swali si limeeleweka 😂😂Waziri kwenye Wizara mkuu...! 🤣
Ghafla bin vuuu 😂Nipo humu Kila siku mbona 😂😂😁
Nani Magoma au...? 😅Eti eh sasa yupo ulijue hilo lichizi la magomeni
Kama kuku,,shiiii shiiiiNawafukuzaje kwa mfano...! 🤣
Nipo humu since 2011 hadi Leo 😂😁😁😁Ghafla bin vuuu 😂
😎😎Mi sijapinga mzee baba...! 😂
Kama hana D2 hawezi kuelewa. 🤣Upo sahihi Kuna mmoja anatembeza huyo kama sio yake mweusiiii
Hatoi sadaka huyo kazi kusikiliza maombi, hajui wanabarikiwa wengine.Amekunyima nini kwani mzee baba...? 😅
Mungu hakupi vyote....Unamuacha ateseke
Mungu hakupi vyote.Meno na miguu vipi?
Acha tu kwanza hawajui wanataka nini wengi wanajichubua na wanapenda madawa tunawajua hata wambulu teye na dhani ni ke na ni mrangi anahasira sanaUpo sahihi Kuna mmoja anatembeza huyo kama sio yake mweusiiii
Kazi unayo mpaka kieleweke yaani. 😂yaani 😂