Dah, aisee Warangi wazuri sana

Dah, aisee Warangi wazuri sana

Until huyo dada wa kirangi akupige tukio ndo akili itakaa sawa.
Hamna kitu kama hiko mzee. Acha uoga Kula Mji mzee...!

IMG_20240720_084644_054.jpg
 
Hovyooo ni wewe umeshalipewa limbwaata hujioni na sura mbaya kama manati ya fundi maiko ,unalisura baya ndio maana unawaona warangi wazuri warangi wamekomaa ukiwapiga na mawe hawasikii . Jinsi walivyokomaa
😂 😂 😂 😂
Nilikuwa na kuheshimu sana lakini kumbe una utoto mwingi na haujielewi kabisa. Sasa kama mtu anawasifiq wanawake wa Kabila fulani wewe kinachokuuma ni nini???
 
Back
Top Bottom