Dah, aisee Warangi wazuri sana

Hovyooo ni wewe umeshalipewa limbwaata hujioni na sura mbaya kama manati ya fundi maiko ,unalisura baya ndio maana unawaona warangi wazuri warangi wamekomaa ukiwapiga na mawe hawasikii . Jinsi walivyokomaa
😂 😂 😂 😂
Nilikuwa na kuheshimu sana lakini kumbe una utoto mwingi na haujielewi kabisa. Sasa kama mtu anawasifiq wanawake wa Kabila fulani wewe kinachokuuma ni nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…