Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

Hiki niii kusuntwa kwa mtoa mada hahahauq hahahqhqhq wana mbegu kwaahiyo mmemsusaa haya bana
 
Waafrika tuna matatizo sana! Kwa akili ya sawasawa huyo mtoto atakubali kurudi Afrika kwa maraha na maisha aliyoyazoea huko Duniani?!
Weka taarifa sahihi, huyo Angelina Jolie na mtoto wa kuasili, Ya kwamba mama halisi wa mtoto anamtaka mwanae arejee kwake kwa sasa.

Lexus SUV Wewe ni mkongwe humu jamvini kuandika namna hii hata haipendezi.
 
Back
Top Bottom