Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Nov 7, 2023 #21 Ninini hiki??????
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Nov 7, 2023 Thread starter #22 Hiki niii kusuntwa kwa mtoa mada hahahauq hahahqhqhq wana mbegu kwaahiyo mmemsusaa haya bana
F Faru01 Member Joined Jun 29, 2022 Posts 32 Reaction score 125 Nov 7, 2023 #23 Dr. Mariposa said: Ndio akili za Muafrika zilipoishia hapa, Tukiitwa Nyani tunanuna Click to expand... Umetisha 🤣🤣🤣🤣🤣
Dr. Mariposa said: Ndio akili za Muafrika zilipoishia hapa, Tukiitwa Nyani tunanuna Click to expand... Umetisha 🤣🤣🤣🤣🤣
Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,339 Reaction score 6,666 Nov 8, 2023 #24 Waafrika tuna matatizo sana! Kwa akili ya sawasawa huyo mtoto atakubali kurudi Afrika kwa maraha na maisha aliyoyazoea huko Duniani?! abnormal said: Weka taarifa sahihi, huyo Angelina Jolie na mtoto wa kuasili, Ya kwamba mama halisi wa mtoto anamtaka mwanae arejee kwake kwa sasa. Lexus SUV Wewe ni mkongwe humu jamvini kuandika namna hii hata haipendezi. Click to expand...
Waafrika tuna matatizo sana! Kwa akili ya sawasawa huyo mtoto atakubali kurudi Afrika kwa maraha na maisha aliyoyazoea huko Duniani?! abnormal said: Weka taarifa sahihi, huyo Angelina Jolie na mtoto wa kuasili, Ya kwamba mama halisi wa mtoto anamtaka mwanae arejee kwake kwa sasa. Lexus SUV Wewe ni mkongwe humu jamvini kuandika namna hii hata haipendezi. Click to expand...
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Nov 8, 2023 #25 Apart from kugawa mbegu kitu gani kingine unakiweza?
Makari hodari JF-Expert Member Joined May 17, 2022 Posts 3,339 Reaction score 6,666 Nov 8, 2023 #26 binti kiziwi said: Apart from kugawa mbegu kitu gani kingine unakiweza? Click to expand... Unataka umpe kazi?
binti kiziwi said: Apart from kugawa mbegu kitu gani kingine unakiweza? Click to expand... Unataka umpe kazi?
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Nov 8, 2023 Thread starter #27 binti kiziwi said: Apart from kugawa mbegu kitu gani kingine unakiweza? Click to expand... Kugawa hela...
binti kiziwi said: Apart from kugawa mbegu kitu gani kingine unakiweza? Click to expand... Kugawa hela...
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 9,266 Reaction score 7,426 Nov 8, 2023 #28 Ndiyo mwisho wa akili yako.