Dah Dube nae anatoka mapema hawezi kuendelea..Naona wamewapiga kimbola wachezaji sasa aisee...

Dah Dube nae anatoka mapema hawezi kuendelea..Naona wamewapiga kimbola wachezaji sasa aisee...

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
PRINCE DUBE ametoka ameshindwa kumaliza mechi dhidi ya TRA inaonekana amepata majeraha, inasubiriwa ripoti ya Madaktari kuona ukubwa wa majeraha yake na kwa hoja hiyo Emmanuel Mwanengo ndie Striker Kinara kwasasa.

1773841320462.jpg
 
Mlikuwa mnatucheka na Mwangosi sasa zamu yenu tafuteni kocha mzuri wa viungo ingawa nasikia mnamnyemelea kocha wa Simba wa viungo.
 
DAH WANAPUPUTIKA MMOJA MMOJA KAMA VIONGOZI WA IRA. AISEE
 
Nxty pacome again
 
yanga wananyimwa goli dah mambo ya azam yanajirudia
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮💩💩💩💩💩💩💩💩💩 yanga ni mavi. Tu.
 
Back
Top Bottom