Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #21
Hawa watu mbingu ni yaoTatizo ni pale ukilewa na kuona kila kitu ni chema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu mbingu ni yaoTatizo ni pale ukilewa na kuona kila kitu ni chema!
Wakuu,
Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!
Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
Yesu alikua mnywaji rejea bibilia kweny ile harusi yesu aliyohudhurias akakosa kileo akageuza maji yale kuwa mvinyo.Wakuu,
Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!
Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
Hilo goma la mwisho lina vibe sana.Hakuna Mungu kama wewe.
Mvua inarutubisha vitu vyote..
Tumeuona mkono wa bwana...
Gospel za disco hizo.
Kuna ile "my tomorrow must be better""I Know who i'am " by Sinach ..hii gospel ikipigwa club ni deadly kinoma
Mlevi utamjua tuHakuna Mungu kama wewe.
Mvua inarutubisha vitu vyote..
Tumeuona mkono wa bwana...
Gospel za disco hizo.
Huu mwongozo wako leo tumeukataa.Haipendezi hata kidogo...
Duh, hii ilipigwa club flani kanda ya kati ilinoga balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Na nibebe ya Rose Muhando.
Unakuta bia ishakolea unajiona uko heaven kabisa alafu ikipigwa utaona watu wanainua mikono juu wanaacha kubambia . Ila pombe bana dj akichanganya akapiga amapiano unaona mwana anarudi kukamatia kiuno hahahah"Tumeuona mkono wako bwanaaa"ikipigwaa hii lazima watu wasimamee[emoji3]
Kuna siku ilipigwa hapo shivazi Ile bar ya picnic mie ndo Mara ya kwanza kuisikia acha bwana.yale madada ya picnic table Kama mnayajua yenye matako makubwa yakaanza kucheza kwa mduara yaani ilinogaje kinouma aisee"Tumeuona mkono wako bwanaaa"ikipigwaa hii lazima watu wasimamee[emoji3]
Hii inafanya uongeze chupa za gambe 😁, akili inakuwa inawaza tu kuwa Mungu wetu sote.Kuna ile "my tomorrow must be better"
Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Disco la Yesu ni tamu siku zote sema walevi huwa hamna muda wa kulisikiliza au likipigwa bar mnajikosha kwa Yesu ili awasamee dhambi zenu