Dah! hivi kwanini mchungaji Ambikile Mwaisapile asishtakiwe?

Dah! hivi kwanini mchungaji Ambikile Mwaisapile asishtakiwe?

Kila mtu alienda kunywa kikombe kwa babu pasipo kulazimishwa hivyo athari zilizotokana na msongamano wa wagonjwa foleni za magari Zilikuwa hazikwepeki kumbuka kila Jambo kubwa Lina faida na hasara
 
Usilete upuuzi wako hapa wakati wa tanzania wana jitahidi kuupoteza udin we unaleta udini kwani babu aliwaita hao ndug zk yani mpate ukimwi kwa pesa nying unataka upone kwa jero hilo ni kosa la malehemu wako wavivu wa kufikir nawaombea wasamehewe maana lazima watakua na dhambi ya uzinzi
 
Ninani aliwatuma. Ndo ujifunze kuwa njia iendayo watu wengi ni ya kwa shetani.
 
Hawezi shtakiwa kwa mtazamo wako hafifu
lazima ujiulize ni watu wangapi wako Hosp
lakini wanakufa kama ambavyo hao ulio
wataja wamekufa ?

Suala la kifo ni siri ya Mungu tu hakuna
mtu mwingine ajuae chochote,huduma
za Babu zilikuwa za hiari sana maana hakuna
popote alipowahi mfunga mtu kamba ili
akanywe kwa lazima.

Ponda wako anasumbuliwa na jamaa zake
na sio serikali kama ambavyo wengi wanafikiri
maana ugomvi wake ni kuhusu mali za
waislamu.

Serikali kumweka ni katika hali ya kupunguza
joto hasira za upande wa wale wanatakiwa
kurejesha mali anakotaka Ponda.

Sasa unadhani akiachiwa huru tu ni nini
kitatokea kama sio vurugu kati ya pande
mbili mdai na mdaiwa.

---------------------------........................-------------------

Watu wengi wanapata huduma za kila namna
na hali zao huwa mbaya kwa maana ya kufikwa
na mauti na kadharika na wanakubali,sasa wewe
kikombe kinakukosesha raha kabisa.

Labda ungesema bila kikombe wangeishi miaka
mingapi hapa duniani ? Kufa ni lazima Mkuu.
 
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?
Na wale wagonjwa wanafia Muhimbili, bugando au hospitali yoyote, utawashitaki madaktari wa pale..???
 
Wakati ule mlimiminika kwa fujo bila kujali imani zenu,Leo ndo uanze kudekadeka hapa.
Kama kawaua,kachukue RB.
 
Kwa ulichokiandika
kinadhihirisha jinsi gani akili zako zilivyoathilika na moshi wa mmea
ambao umechanganywa na haja kubwa. Huna hata chembe ya busara wewe! Na
siamini kama ushawahi kupatwa na matatizo kama unavyodai, tambua kwamba
mtu ukiwa unaumwa au unauguza huwezi kudharau tiba yoyote utakayoambiwa
na ikizingatiwa kwamba kile kizee kiuaji kilikuwa kimepata promo za
kutosha kama vile watu kujtangaza wamepona maradhi yao, hivi unadhani
mtu ambaye ameshahangaika sana ktk kuuguza au kuumwa unaweza kuzadharau
taarifa hizo bila kuzifanyia kazi? mtu mjinga sana wewe usiye na hata
chembe ya huruma kwa binaadamu wenzako!

mjinga ni wewe na ndugu zako mlioenda kunywa hicho kikombe chenu..
unadhani wagonjwa wote tz walienda kunywa kikombe loliondo?kama jibu ni sio,unadhani kwanini hawakuenda?
wajinga sana nyie na ndugu zako mlioenda?sasa kama babu kawaulia ndugu zenu,mahakamani hamkujui?unatuletea kelele hapa ili kutafuta huruma kwa jamii?
wajinga ndio...........!
 
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?

Ashitakiwe kwa ajili ya nini? Mbona Alue watu wanakunywa na bado wanakufa...nani ashitakiwe? Hakuna dawa yenye kuponya kwa asilimia mia, babu kafanya utafiti wake akaona dawa inaponya, yeye hajasema kila atakayekunywa atapona, ni dawa kama dawa zingine, wapo walioponywa na dawa hiyo. Mimi nadhani wakushtakiwa ni wale wanaokemea mapepo na kukusanya sadaka kutoka kwa waumini maskini! Wachungaji, Masheikh na Makasisi wengine chapa bakora tia ndani, wanajaza ujinga wananchi kwa stori za uwongo na uzandiki!
 
tambua kwamba
mtu ukiwa unaumwa au unauguza huwezi kudharau tiba yoyote utakayoambiwa

huu ndio uwezo wa juu kabisa wa mtanzania wa leo kufikiri.
kwa akili za namna hii,tutakwisha kama kuku.
"WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
 
Nikurudishe nyuma kidogo:
Kaskazini ni mahali paliongoza na panaongoza vuguvugu la maendeleo CHADEMA. Mikutano ikawa ikijaza sana watu. Serikali ikastuka kwa kujua kuwa CCM inakwisha. Ifanyeje?Ikampromoti babu na dawa yake ili watu wawe bize kwenda huko na CHADEMA ikose wahudhuriaji. Inawezaje kumshitaki?Mwenye kusikia na asikie.
 
sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?[/QUOTE]

Ukristo unaingiaje hapo? Au hoja yako ni nini? Mwehu wewe usituandikie pumba zako hapa za udini. Ulitaka umkute anaombaomba barabarani huo ndio ujasiriamali wewe mbuzi. Endelea kumpigia debe sheikh Ponda zuzu wewe.
 
Kwakua hayajakukuta poa ila dunia ni mimi na wewe kama mimi limenikuta basi na wewe lipo njiani si lazima kwahili ila hata lingine.

Ina maana Mungu hukumuona au? Ulipewa maji hayo? Maji matukufu kutoka Makka kwa nn hukuyatafuta iyo ni hukumu Ya Allah ya kumdharau kwa kila muislam alownda kwa uyo babu
 
hivi kunadawa inaponya kifo????????? Utafiti wako wa kuiita "sumu" umefanyia maabara ipi na majibu yako wapi?? Hakuna waliokunywa na bado wanaishi, hao unawasemeaje?? Babu na Ponda wanafanana kwa lipi??
 
Babu alikuwa muwazi toka mwanzo, alipoeleza kuwa dawa yake ya kikombe inaponyesha kwa mgonjwa mwenyewe anayekunywa hiyo dawa kuwa na imani kamili kuwa atapona.

Aliongea wazi wakati ule kuwa kama ataenda mgonjwa na kujisemea kimoyomoyo kuwa hivi hiki kikombe, kinaweza kweli kuponya ugonjwa wangu,mgonjwa wa aina hiyo, kamwe asingeweza kupona, kwa kunywa kikombe chake!!

Kwa maana hiyo wapo wagonjwa wengi walipona kwa kuamini kuwa kikombe hicho kitawaponyesha, na wapo wagonjwa wengi pia ambao walikuwa na imani haba kuhusu uponyaji wa kikombe hicho, kwa hiyo walipiga trip ya kwenda Loliondo, just for a trial, hao ndiyo wengi, waliopoteza maisha!
 
hivi kunadawa inaponya kifo????????? Utafiti wako wa kuiita "sumu" umefanyia maabara ipi na majibu yako wapi?? Hakuna waliokunywa na bado wanaishi, hao unawasemeaje?? Babu na Ponda wanafanana kwa lipi??
Muulize huyo mleta hiyo thread, kama kikombe cha babu kilikuwa ni sumu, inawezekanaje watu wengi waliokunywa kikombe hicho, wakiwemo watu wengi maarufu katika jamii yetu, kama akina Lukuvi, Mrema, Ndesamburo, Lowassa, Pinda, Magufuli na wengine wengi tu, wawe wanadunda hadi leo, kama babu wa Lolondo aliwanywesha kikombe chenye sumu?!!!!
 
kuna watu wengi sana walipona ,na wengi pia walikufa. hata hospitalini hawaponi wote ndo mana kuna mochwari za kuhifadhi maiti. alitoa tahadhari watu waendelee kutumia dawa zao za awali kwa sababu si wote wenye imani ya kuwawezesha kupona. uponyaji haukuwa kwny kikombe bali uko ndani ya mtu. kikombe ni kama magongo anayotumia mlemavu:mtu ndiye anayeamua aelekee wapi sio magongo. magongo ni support tu ya kumsaidia. imani ya mtu ndani yake ndiyo inayomponya. babu alikua anachochea tu imani za watu ili ziwaponye! hata issah au yeshua au jesus au yesu alitema mate chini akatengeneza tope na kumpaka kipofu kisha akaona baada ya kwenda kunawa. Sasa tujiulize dawa ilikua ni tope au mate au maji alokwenda kunawa? Kwa kifupi dawa ilikua ni imani ya bwana yesu iliyogundua udhaifu wa imani ya yule kipofu isiyoweza kufanya kazi mpaka ipewe support ya kushika. Babu hana kosa atakuja kukumbukwa kama shujaa,hata mandela alikua shujaa japo watu wengi walikufa ktk kutengeneza ushujaa wake.
upo sawa mi mamangu alienda hawezi tembea amepooza sasa anatembea na anafanya kazi zake bila wasiwasi sababu ya kikombe imani yako itakuponya. Yesu alikua akisema hivi imani yako imekuponya.
 
Back
Top Bottom