BJEVI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 1,359
- 251
Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji anadunda tu kitaa?
nadhani una matatizo yasiyotibika kwa kikombe hata kwa sindano.
nani kawalazimisha kunywa kikombe.?
Uislamu na ukristo umeupata wapi kwenye hili?
hili ni tendo la imani nenda mtoni ukaoge mara saba utaongeza hekima na busara kwa lolote utendalo na kuliwaza.