Dah jamaa hachuji tu bado yumo, safi sana Nature Kibla

Dah jamaa hachuji tu bado yumo, safi sana Nature Kibla

Kutumia tune @ melody moja kila wimbo unatarajia upate umaarufu?
 
Nature bado mkali, namsifu ameweza kuitunza sauti yake bado anajiamini kutunga nyimbo mpya, ameweza kuhimili vishindo bila kukimbilia kula unga, ameoa anawatoto baba wa familia anaejitambua, safi sana. Ila tukubali ukweli kila zama na watu wake kwa sasa wapo wanao ona Dangote ni zaidi kwa kuwa ni wakati wake, ila wapo wanao ona Kiba ni zaidi kwa kuwa wana mkubali. Mimi bado namkubali Kiroboto kwa kuwa bado anajitambua.
 
Kubali yaishe Nature,staafu kwa heshima uliyojijengea enzi hizo,miziki ya namna hii hatusikilizi siku hizi..
 
Back
Top Bottom