Dah! Kanisa litammiss Askofu Gwajima katika doctrine ya wokovu

Hivi nikiiweka ile video clip iliyosababisha Roma mkatoliki akamtungia wimbo, nitakuwa nimefanya vibaya, mode atanilamba ban?

Maana hadi leo ninayo, nikiiangiliaga naishia tu kusema 'hiiiiiii'!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosasli kwa gwajima wanahitaji maombezi au matibabu ya akili!
Huwa napenda kujua historia ya watu hawa kwani sidhani kama ni watu wanaojielewa vyema!
 
Tembelea ile site yetu pendwa ya XXXVideo utamkuta huko mchungaji wako anamla kondoo
 
Ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gwajima ni mropokaji na mpotoshaji na muongo... Kama hiyi biblia yake Inasema samehe Saba Mara sababini... Yeye kwenda kumuwekea bashite viapo vya namfuta kisiasa n.k

Kumtukana mtu mzima Tena mtumishi wa Mungu mwenzie kuwa Ni mpumbavu. Inaonesha TU Ana utovu wa nidhamu, Hana heshima kwa wakubwa zake...hivyo Basi abaki huko kanisani.. bungeni hakumfai na hatofika.

Halima Mdee for Kawee
 

Gwajima hakuwahi kuokoka. Hivyo hawezi kuhubiri kitu ambacho hana. Ni sawa na mtu hajawahi kuwa daktari eti afundishe mtu udaktari. It is simply impossible.

Anayemtumikia anamjua yeye. Na ndiye aliyempa umati ule
 
Akiondoka kondoo watasalimika
 
Mimi sidhani kama Gwajima ana wokovu ndani yake ni mtu ambaye pengine akaokoka huko baadaye na kuwa mwana wa Mungu aliye Hai.
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…