Larson
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 212
- 156
Anakwenda Mjengoni, kwa usafiri wa CCM kupitia njia ya Kawe.Anakwenda wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakwenda Mjengoni, kwa usafiri wa CCM kupitia njia ya Kawe.Anakwenda wapi?
Kaahirisha kuwapeleka mbiguni ,sasa hv anapambana awapeleke Marekani.Wanaosali kwa GWAJIMA natamani kuwaona kwa sura sijui kwa nini?
Ha ha haKaahirisha kuwapeleka mbiguni ,sasa hv anapambana awapeleke Marekani.
Ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hichi "KIJIWE NONGWA" humu JamiiForums kinanikumbusha ule wimbo wa ROSTAM. . . . . . . . . . .
STAMINA:- Alikuja kama "MASII", tukamchangia "SADAKA", tukamuona "NABII" alieshushwa siku ya "PASAKA", tukamtolea na "ZAKA" ili kanisa "LIJENGWE".
ROMA:- Enh Enh na bado akamlaza muumini "KIFO CHA MENDE".
Anakwenda wapi?
Wala hatofika huko aelekeakoAnakwenda wapi?
Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye.
Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba yao.
Gwajima kalifundisha kanisa la Tanzania juu ya misingi ya wokovu bila kupindisha kona. Ikumbukwe kipindi cha corona hapa Tz alitoa miongozo 12 ya kibbilia yakufuata ili usipatwe na corona.
Zilikuwa ni facts tupu na wengi tulitumia zikaaply. Gwajima anajua bana concept ya wokovu,akifundisha lazima upate kitu kipya kabisa.
Sawa baba nenda huko ulikowiwa kwenda ila usitusahau angalau mara moja kwa mwezi sisi wa mbali na dar huwa tunakupata kupitia online TV yako(rudisha TV).
Chamsingi ni kuona falme za dunia zimegeuka kuwa falme za mwanakondoo yaan Kristo Yesu
Hukosa yoteMtaka yote kwa pupa!!!
Mimi sidhani kama Gwajima ana wokovu ndani yake ni mtu ambaye pengine akaokoka huko baadaye na kuwa mwana wa Mungu aliye Hai.Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye.
Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba yao.
Gwajima kalifundisha kanisa la Tanzania juu ya misingi ya wokovu bila kupindisha kona. Ikumbukwe kipindi cha corona hapa Tz alitoa miongozo 12 ya kibbilia yakufuata ili usipatwe na corona.
Zilikuwa ni facts tupu na wengi tulitumia zikaaply. Gwajima anajua bana concept ya wokovu,akifundisha lazima upate kitu kipya kabisa.
Sawa baba nenda huko ulikowiwa kwenda ila usitusahau angalau mara moja kwa mwezi sisi wa mbali na dar huwa tunakupata kupitia online TV yako(rudisha TV).
Chamsingi ni kuona falme za dunia zimegeuka kuwa falme za mwanakondoo yaan Kristo Yesu
🤣🤣🤣Hichi "KIJIWE NONGWA" humu JamiiForums kinanikumbusha ule wimbo wa ROSTAM. . . . . . . . . . .
STAMINA:- Alikuja kama "MASII", tukamchangia "SADAKA", tukamuona "NABII" alieshushwa siku ya "PASAKA", tukamtolea na "ZAKA" ili kanisa "LIJENGWE".
ROMA:- Enh Enh na bado akamlaza muumini "KIFO CHA MENDE".
angalia isije ikawe wewe ndo hujielewiWanaosasli kwa gwajima wanahitaji maombezi au matibabu ya akili!
Huwa napenda kujua historia ya watu hawa kwani sidhani kama ni watu wanaojielewa vyema!