Dah kutoka kuwa na furaha hadi hofu

Dah kutoka kuwa na furaha hadi hofu

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
wakuu juzi kuna mshkaji wangu alitumia namba ya simu ya demu ambaye simjui kunitafuta tukaongea vizuri, sasa mda sio mlefu namtafuta kumbe namba ya demu kama unavyojua nikaaanza mambo yangu nikamuimbisha demu akawa anaelewa, nikamuiliza mshkaji vp huyu sio shemeji akasema sio nikamuuliza hana magonjwa akasema yupo powa me namjua basi nikaendelea kuchati na demu,

tukatumiana picha Whatsapp demu akawa anajaa, siku ya pili tukaonana na siku hiyohiyo nikaenda kula mzigo tena alinikuta nishalewa nikapiga kavu bao 3 japo sikumfurahia sana demu mwenyew mimaji maji tuh mipaja mikuuubwa na sikupata mchubuko wowote, ila baada siku 2 naona dud linauma kwa ndani nikawaza sana ila nikapotzea na leo siku 5 naona maumivu yanapungua.
nnachowaza itakuwa vimaambukizi vya kawaida tuh ila nawaza sana kuhusu ngoma mpk sina raha.

Kweli unaweza kufanya maamuzi ya kukurupuka na kupata matokeo mabaya ya kudumu kwenye maisha yako [emoji24].
 
Mshahara wa Dhambi ni mauti!Dhibiti tamaa ya mwili ukaishi!
 
Mshahara WA dhambi siku zote ni mauti, haijawahi kubadilika
 
Back
Top Bottom