Dah Magufuli hatanii, labda yupo sahihi kwa hili la kuwakamata wasichana wenye mimba

Mzee kuna sheria korea kaskazini mtu akitorokea nchi ingine ukoo mzima mnafungwa
 
Kwan mkuu hana mtoto mdogomdogo wa kike tumsakizie vijana???
 
Meanwhile, kuna kata wamepitisha sheria ndogo ndogo kuwa mwanaume akionekana kasimama na mwanafunzi njiani au sehemu yoyote inayotia mashaka, mtu huyo atatandikwa viboko hadharani au kulipa faini ya pesa au vyote kwa pamoja.


Hapa mwanzoni kunaweza kuonekana kuna drama ila baadae itasaidia hasa maeneo ya vijijini. Kuna hali mbaya sana huko.
 
Nakuombea Mungu yasikukute ukija kuwa mzazi.maana unachoongea so far ni sio mzazi
 
Mkuu,hapo uliposema "waliowatia" sema walio watia mimba
 

Umeshajijibu, kosa la wazazi ni lipi? Mtoto nae afungwe kweli? Huu ni utakili
 

Umejibu vzr mkuu kuna watu humu ni kulalamika kila kitu
 

Teach the kids to abstain...if not teach them prevention from pregnancies and HIV plus other sexually transmitted diseases...Political sideshows in Africa are laughable despite being funny...
 
Mzee kuna sheria korea kaskazini mtu akitorokea nchi ingine ukoo mzima mnafungwa

Hehehe! Hivyo inabidi kulindana na kuhakikisha kila mmoja analinda mwenzie..
 
Naanza kufikiri yeye Magufuli ni pedophile maanake amewakamata watoto badala ya waliowatia mimba kisha akawasamehe mapedophiles wengine.
 
Ivi mtt akimaliza form 6 wakati anasubiri matokeo akapata mimba! Je nakwenyewe kuna msala!?
 
Ivi mtt akimaliza form 6 wakati anasubiri matokeo akapata mimba! Je nakwenyewe kuna msala!?

Thubutu yakukute.... Ukiona hawa hapa chini, pita kuleeeee!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…